Kuna states ukimtaliki mwanamke, na wewe ukiwa na kipato kikubwa, unatakiwa kulipa kitu kinaitwa alimony.
Yani ni hela fulani ya kumfanya huyo mwanamke aweze kuendelea kuishi kama alivyoishi nawe bila kutetereka.
Kuna sehemu unaweza kutakiwa kumlipa hivyo mpaka anafariki, kama hajaolewa tena.
Na kama mke ana kipato zaidi, yeye anaweza kutakiwa kumlipa mume.
Kwenye case law kuna kesi moja maarufu wanapenda kuitumia Lepes vs. Lepes ya New Jersey State 1980.
Sr. Dre anapelekana puta na mkewe kesi ya kupiga panga mali kwenye talaka.