Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Unamwachache SEIF SHARRIF HAMAD? Au kwa vile mpinzani?Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Namba moja hakuwa na umaarufu wowote , alikuwa kiongozi tuWadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
🙏🏾Pole mno. Mungu akufariji na familia yako.
Unaelewa maana ya mtu maarufu?Hakuna mtu maarufu, wote tuko sawa maana mwisho wetu unafanana
Ila wote ni wa udongo, just fikiria Magufuli alivyotikisa na sasa yukojeUnaelewa maana ya mtu maarufu?
maarufu
ni kujulikana hasa katika sanaa au kisiasa; umaarufu pia kuwa unajulikana kitaifa na hata kimataifa.
Na cku zote ujue duniani hakuna usawa hata siku moja. Mambo ya usawa ni propaganda tu bt kiuhalisia hakuna hiyo kitu. Never na sahau
My dad
1. My beloved Mother
2. Beloved Twin
Amen, we are grateful he saw us through in life and died in his old age. Thank you, I do appreciate this.May my condolences bring you comfort and may my prayers ease the pain of this loss.
Maalim seifWadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Mihimu ndio kiswahili gani? Mi baba yangu ndio the most famous dude to me…. Hao wengine siwafahamu huwa nawasikia tu… tofautisha wingi na umoja.Usimveshe kilemba cha ukoka Baba yake ni mtu mihimu sana kwake lakini sio maarufu.
Jitahidini kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha
Thanks alotMay my condolences bring you comfort and may my prayers ease the pain of this loss.
12.Seif Sharif HamadMfugale
Yes Maalimu Seif Sharif Hamad ,Kijazi ,Mfugale ,... mara hii umemsahau nguli wa siasa Maalimu Seif (RIP)? Kweli ukiondoka huna tena ijara duniani!
Ajali ya gari imemchukua.
2020Mkapa ilikua mwaka gani?