kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
Jamaa inaonesha unapenda electronics gadgets sanaYaani suala la kifo ni hatari
Siku ukifa vitu ambavyo vitakuwa vinazinduliwa
●iphone 23
●window 15
●Tecno kali never seen
●laptop kali high base score
●SamsunG high path security
Watu watakimbilia kununua lakini wewe ushakufa na habari yako imeisha
RIP. JOSEPH POMBE
Very sorry for the loss. Be strong1. My beloved Mother
2. Beloved Twin
Thank you.May their souls Rest In PeaceVery sorry for the loss. Be strong
Agustino Ramadan alifariki 2020Maalim Seif
Prof Baregu
Jaji Ramadhan
My condolences1. My beloved Mother
2. Beloved Twin
Nimejifunza mengi sana kupitia mafundisho ya huyu mtu...r.i.p mitimingi [emoji24][emoji24]Sitamsahau Mchungaji Mitimingi
Jaji Ramadhan
Pole sana myMy dad
Pole sana Mungu awape faraja familia nzima1. My beloved Mother
2. Beloved Twin
Acha kukomplicate mzeeHakuna mtu maarufu, wote tuko sawa maana mwisho wetu unafanana