(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi wakubwa wapiga dili waliosababisha huu umaskini tuliokuwa nao,mfano Zanzibar pasingetokea mapinduzi ya kumpindua Sultani,leo hii ingekuwa zaidi ya Dubai
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,