Watu niliokuwa nawaamini wakati mdogo, nilipokuwa mkubwa nikagundua kumbe hawafai kabisa

(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi wakubwa wapiga dili waliosababisha huu umaskini tuliokuwa nao,mfano Zanzibar pasingetokea mapinduzi ya kumpindua Sultani,leo hii ingekuwa zaidi ya Dubai
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,
Akili za Kitumwa zinawaza kutawaliwa tu na Sultani
 
nje na mada

Nilpokua mdogo nilkua najaribu kujinyonya chuchu lakini sifikii, siwezi zifuta coz ni ndogo.

Sasa nikasema nikikua manyonyo si yatakua makubwa,nitakua najinyonya balaa,aseeee upumbavu ule huwa najiwazia tu.
Tangu umekua umejinyonya mara ngapi?
 
1739024303143.jpg
 
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,
Hawa nilikuwa najiuliza kwanini wasitengeneze ndege na magari yao, lakini sasa nawafundisha algebra a+b=c na hawaelewi kitu!
 
Hahahaha,,sijui ye mwenyewe ila mimi hapana kabisa siwezi jaribu
Hujui kivipi wakati mnapiga romance, anayanyonya, ananyonya kitumbua, anaidumbukiza kisha mnapigana tena denda?😃

Acha kuniongopea
 
Akili za Kitumwa zinawaza kutawaliwa tu na Sultani
Labda nikuulize hivi faida na maendeleo tuliyoyapata baada ya kumfukuza Sultani ni zipi? Tumepiga hatua mbele,tumesimama au tumeludi nyuma?
 
(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi wakubwa wapiga dili waliosababisha huu umaskini tuliokuwa nao,mfano Zanzibar pasingetokea mapinduzi ya kumpindua Sultani,leo hii ingekuwa zaidi ya Dubai
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,
Uko sahihi kwa kila ulisemalo ila suala la Zanzibar kwenda kuwa zaidi ya Dubai hapo umechemsha kwani kabla ya mapinduzi Zanzibar ilikuwa haina ishu yoyote. Waarab (wale masultani na vibaka wao) waliwanyanyasa mno watu weusi na kulikuwa hakuna la maana pale Zenji.
 
Back
Top Bottom