Watu niliokuwa nawaamini wakati mdogo, nilipokuwa mkubwa nikagundua kumbe hawafai kabisa

Watu niliokuwa nawaamini wakati mdogo, nilipokuwa mkubwa nikagundua kumbe hawafai kabisa

A
Hata mimi nilishangaa kukuta mtu mzima anaelekea 50 ila ana mambo ya hovyo balaa 😅😅😅
Anataka dogodogo tayar keshajipata, usimshangae kama Kuna nafasi mpe kama hakuna mjibu kistaarabu kama vijana wenzako kwani vijana wote wanakubalika? Na huyo yupo humo humo
 
(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi wakubwa wapiga dili waliosababisha huu umaskini tuliokuwa nao,mfano Zanzibar pasingetokea mapinduzi ya kumpindua Sultani,leo hii ingekuwa zaidi ya Dubai
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,
Hata wazazi wako walipokuwa wadogo walikuwa na fikra kama zako, na watoto wako utawaaminisha kama ulivyoaminishwa na si kosa kwa sababu, mtoto ndo anakosa kwa mzazi, mzazi yeye ana kosa kazini na kwingineko ambako mtoto mdogo hayo hayaoni, kwa hivyo na wewe ni hivyohivyo, mf unamhimiza mtoto asome asipate ziro darasani unafikir anajua we ulikuwa kilaza? Wapi anajua baba yake nd tajir wa mtaa kumbe nyumba ya kupanga ndo utoto wenyewe huo.
 
Nilipokuwa mdogo nilijua 🤣nitapata ajira Baada ya kumaliza fomsix, guess what 🤣@intelligent businessman
 
Adamu na Hawa walifungishwa ndoa na Mungu,wao wakawa wanawafungisha ndoa watoto zao,
Hizo ni hadithi za sungura na fisi wewe uliwaona wapi hao Adam na hawa? Na unathibitisha vipi kuwa ni ukwel?
 
A

Anataka dogodogo tayar keshajipata, usimshangae kama Kuna nafasi mpe kama hakuna mjibu kistaarabu kama vijana wenzako kwani vijana wote wanakubalika? Na huyo yupo humo humo
Sawa
 
Back
Top Bottom