- Thread starter
- #81
Kwani katika historia ni nani ni mwenyeji wa Zanzibar?Huamini katika kujitawala unaamini kwenye kutawaliwa na watu wa mataifa ya kigeni.
Hilo haliwezekani kwa sasa.
Kama hukubaliani na sera za CCM vyama vingine vipo.
Ungana navyo ili muiondoshe madarakani.
Lakini si kwa ndoto kuwa siku itafika mwarabu ataitawala tena Zanzibar.
Haitakuwa.