moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Aiseeee🥰🥰Namba moja bila kutenda dhambi tusingekuwepo duniani. Tunda taamu lisisimangweView attachment 3228809
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee🥰🥰Namba moja bila kutenda dhambi tusingekuwepo duniani. Tunda taamu lisisimangweView attachment 3228809
Hapo namba 3 na Sultan wa Zanzibar umezingua.(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi wakubwa wapiga dili waliosababisha huu umaskini tuliokuwa nao,mfano Zanzibar pasingetokea mapinduzi ya kumpindua Sultani,leo hii ingekuwa zaidi ya Dubai
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,
Shetani hachagui umri.Hata mimi nilishangaa kukuta mtu mzima anaelekea 50 ila ana mambo ya hovyo balaa 😅😅😅
Kazi ya kunyonya manyonyo siyo yako.nje na mada
Nilpokua mdogo nilkua najaribu kujinyonya chuchu lakini sifikii, siwezi zifuta coz ni ndogo.
Sasa nikasema nikikua manyonyo si yatakua makubwa,nitakua najinyonya balaa,aseeee upumbavu ule huwa najiwazia tu.
Tatizo mnaosoma historia za vitabuni qHapo namba 3 na Sultan wa Zanzibar umezingua.
Umri huo bado unategemea msaada wa mwarabu ili upate maendeleo!!!
Achana na mawazo ya tegemezi.
Siamini saa hz nikilala njaa acha kabisa na nauli unakosa hata ya kupanda daladala 😂Huyu ni mimi😂😂
Bora ubaki masikini huru kuliko tajiri utumwani.Tatizo mnaosoma historia za vitabuni q
ambazo zimepotoshwq kwa makusudi,unajua mwaka 1800 Zanzibar
ulikuwa mji uliokamilikana ukiwa na ubalozi na inchi za inje ilikuwa na umeme,i reli,walikuwa na vyuo,au kilikuwa kitovu cha elimu,kwa maana nyingine uchumi wake ulikuwa mkubwa,wakati Tanganyika hapo Mzizima walikuwa wanaishi simba
Bora ubaki masikini huru kuliko tajiri utumwani.
Hata hayo ya mwaka 1800 hukuyaona, umesoma vitabuni au umehadithiwa na walio kuhadithia nao walihadithiwa.
Hapa Tanganyika kwenye miaka hiyo hiyo Ujerumani wamefanya mambo makubwa.
Wakati huo koloni hili likiitwa 'Deutsche Ostafrika', (Tanganyika, Burundi na Rwanda) wajerumani wamehamisha makao ya nchi kutoka Bagamoyo mpaka Dar er salaam, wamekata milima ili kujenga barabara, wamejenga madaraja madogo na makubwa, mpaka leo tunayaona, wamejenga mtandao wa reli kusini, kaskazini na magharibi ya Tanganyika.
Lakini pamoja na yote hayo hatuwezi kumkumbuka mjerumani kwa wema.
Wakoloni hawajawahi kuwa wema kwetu.
Nyi wenzetu wa visiwani mna pepo la kutawaliwa ndiyo maana nyoyo zenu zingali na mawazo ya kitumwa.
Jifunzeni kuwasahau maana Zanzibar ni mali ya waafrika.
Hii life haiko fair kabisa 🥺🥺Siamini saa hz nikilala njaa acha kabisa na nauli unakosa hata ya kupanda daladala 😂
Aseeh so poa bwashee.... Mungu atufanyie wepesiiHii life haiko fair kabisa 🥺🥺
That's why nasema upumbavu ule😂🙌🏾Kazi ya kunyonya manyonyo siyo yako.
Ina wenyewe walioumbwa kuyanyonya hayo🤣🤣🤣🤣
Kwani hamjui wajinga nao wanazeekaHata mimi nilishangaa kukuta mtu mzima anaelekea 50 ila ana mambo ya hovyo balaa 😅😅😅
Sasa hivi hali ikoje 😁😁nje na mada
Nilpokua mdogo nilkua najaribu kujinyonya chuchu lakini sifikii, siwezi zifuta coz ni ndogo.
Sasa nikasema nikikua manyonyo si yatakua makubwa,nitakua najinyonya balaa,aseeee upumbavu ule huwa najiwazia tu.
Mkuu mapinduzi ndiyo hayo, kama hukubaliani nayo hamia Oman utakutana na utawala wa Sultani atakutawala tu.kumbuka wakoloni wote wanapokuja bara walikuwa wakipitia Zanzibar,
kwa hiyo walishaendelea miaka mingi sana,au kulikuwa na biashara ya mbali kati ya Zanzibar na inchi za Asia kabla 1800 ila hayo mapinduzi ndiyo yaliyohalibu kila kitu
Unajua Mji wa Kilwa ulikuwa inchi kabla ya Tanganyika?
Ok,tufanye hivi na hawa waliopindua halafu wakaungana na CCM ambao toka mfumo wa vyama vingi uingie kila siku kazi yao ni kupora ushindi na kuuwa raia wasiokuwa na hatia tuwaitaje?Mkuu mapinduzi ndiyo hayo, kama hukubaliani nayo hamia Oman utakuna na utawala wa Sultani atakutawala tu.
Waite jina lolote upendalo na hatasaidia, maana mwarabu hutamuona tena Zanzibar.Ok,tufanye hivi na hawa waliopindua halafu wakaungana na CCM ambao toka mfumo wa vyama vingi uingie kila siku kazi yao ni kupora ushindi na kuuwa raia wasiokuwa na hatia tuwaitaje?
Hatimaye nimeiona rangi yako,kumbe ndiyo wale waliozoea vya kunyongaWaite jina lolote upendalo na hatasaidia, maana mwarabu hutamuona tena Zanzibar.
Labda waje kutembea na si kutawala.
Huamini katika kujitawala unaamini kwenye kutawaliwa na watu wa mataifa ya kigeni.Hatimaye nimeiona rangi yako,kumbe ndiyo wale waliozoea vya kunyonga