Watu niliokuwa nawaamini wakati mdogo, nilipokuwa mkubwa nikagundua kumbe hawafai kabisa

(1)Watu wazima nilijua ni wema hawatendi Zambi,kama kuiba na kuzini,kumbe mmhhhh
(2)Viongozi wa dini nilijua wanamuwakilisha Mungu kutokana na yale wanayoyaonge kumbe,,,,,,,,,
(3)Wanasiasa na majina yao makubwa,niliwaheshimu sana wakati nawasoma shule nilipokuja kuwa mkubwa nimegundu ni wezi wakubwa wapiga dili waliosababisha huu umaskini tuliokuwa nao,mfano Zanzibar pasingetokea mapinduzi ya kumpindua Sultani,leo hii ingekuwa zaidi ya Dubai
(4) Walimu Niliamini ni kundi la watu wenye akili kubwa waliyoyashinda maisha, kumbe,,,,
Hapo namba 3 na Sultan wa Zanzibar umezingua.
Umri huo bado unategemea msaada wa mwarabu ili upate maendeleo!!!
Achana na mawazo ya tegemezi.
 
Hata mimi nilishangaa kukuta mtu mzima anaelekea 50 ila ana mambo ya hovyo balaa 😅😅😅
Shetani hachagui umri.
Tena anawapenda sana wazee, maana anajua wanakaribia kufa, hivyo yupo karibu nao kuharibu akhera zao
 
nje na mada

Nilpokua mdogo nilkua najaribu kujinyonya chuchu lakini sifikii, siwezi zifuta coz ni ndogo.

Sasa nikasema nikikua manyonyo si yatakua makubwa,nitakua najinyonya balaa,aseeee upumbavu ule huwa najiwazia tu.
Kazi ya kunyonya manyonyo siyo yako.
Ina wenyewe walioumbwa kuyanyonya hayo🤣🤣🤣🤣
 
Hapo namba 3 na Sultan wa Zanzibar umezingua.
Umri huo bado unategemea msaada wa mwarabu ili upate maendeleo!!!
Achana na mawazo ya tegemezi.
Tatizo mnaosoma historia za vitabuni q
ambazo zimepotoshwq kwa makusudi,unajua mwaka 1800 Zanzibar
ulikuwa mji uliokamilikana ukiwa na ubalozi na inchi za inje ilikuwa na umeme,i reli,walikuwa na vyuo,au kilikuwa kitovu cha elimu,kwa maana nyingine uchumi wake ulikuwa mkubwa,wakati Tanganyika hapo Mzizima walikuwa wanaishi simba
 
Bora ubaki masikini huru kuliko tajiri utumwani.
Hata hayo ya mwaka 1800 hukuyaona, umesoma vitabuni au umehadithiwa na walio kuhadithia nao walihadithiwa.
Hapa Tanganyika kwenye miaka hiyo hiyo Ujerumani wamefanya mambo makubwa.
Wakati huo koloni hili likiitwa 'Deutsche Ostafrika', (Tanganyika, Burundi na Rwanda) wajerumani wamehamisha makao ya nchi kutoka Bagamoyo mpaka Dar er salaam, wamekata milima ili kujenga barabara, wamejenga madaraja madogo na makubwa, mpaka leo tunayaona, wamejenga mtandao wa reli kusini, kaskazini na magharibi ya Tanganyika.
Lakini pamoja na yote hayo hatuwezi kumkumbuka mjerumani kwa wema.
Wakoloni hawajawahi kuwa wema kwetu.
Nyi wenzetu wa visiwani mna pepo la kutawaliwa ndiyo maana nyoyo zenu zingali na mawazo ya kitumwa.
Jifunzeni kuwasahau maana Zanzibar ni mali ya waafrika.
 
kumbuka wakoloni wote wanapokuja bara walikuwa wakipitia Zanzibar,
kwa hiyo walishaendelea miaka mingi sana,au kulikuwa na biashara ya mbali kati ya Zanzibar na inchi za Asia kabla 1800 ila hayo mapinduzi ndiyo yaliyohalibu kila kitu
Unajua Mji wa Kilwa ulikuwa inchi kabla ya Tanganyika?
 
Mi nina ndugu yangu kabisa tulikuwa tunaishi na step mother sasa kama kawaida ukitendewa siyo mnakaa mnajadili kumbe badae mwanangu anaenda kuyafikisha kama yalivyo mipango yako nini umepanga kufanya uondoke ukaanze life yako nikawa nashangaa mbona mi ndo nakaziwa sana kuja kugundua kumbe nachorwa tu sijawahi kuamini ndugu tena.

Wengine marafiki huko ndo kabisaa.
 
Nilipokuwa mdogo nilidhani mwanamke akiolewa hapigwi nje ya ndoa, kumbe mmh
 
nje na mada

Nilpokua mdogo nilkua najaribu kujinyonya chuchu lakini sifikii, siwezi zifuta coz ni ndogo.

Sasa nikasema nikikua manyonyo si yatakua makubwa,nitakua najinyonya balaa,aseeee upumbavu ule huwa najiwazia tu.
Sasa hivi hali ikoje 😁😁
 
kumbuka wakoloni wote wanapokuja bara walikuwa wakipitia Zanzibar,
kwa hiyo walishaendelea miaka mingi sana,au kulikuwa na biashara ya mbali kati ya Zanzibar na inchi za Asia kabla 1800 ila hayo mapinduzi ndiyo yaliyohalibu kila kitu
Unajua Mji wa Kilwa ulikuwa inchi kabla ya Tanganyika?
Mkuu mapinduzi ndiyo hayo, kama hukubaliani nayo hamia Oman utakutana na utawala wa Sultani atakutawala tu.
 
Mkuu mapinduzi ndiyo hayo, kama hukubaliani nayo hamia Oman utakuna na utawala wa Sultani atakutawala tu.
Ok,tufanye hivi na hawa waliopindua halafu wakaungana na CCM ambao toka mfumo wa vyama vingi uingie kila siku kazi yao ni kupora ushindi na kuuwa raia wasiokuwa na hatia tuwaitaje?
 
Waite jina lolote upendalo na hatasaidia, maana mwarabu hutamuona tena Zanzibar.
Labda waje kutembea na si kutawala.
 
Hatimaye nimeiona rangi yako,kumbe ndiyo wale waliozoea vya kunyonga
 
Huamini katika kujitawala unaamini kwenye kutawaliwa na watu wa mataifa ya kigeni.
Hilo haliwezekani kwa sasa.
Kama hukubaliani na sera za CCM vyama vingine vipo.
Ungana navyo ili muiondoshe madarakani.
Lakini si kwa ndoto kuwa siku itafika mwarabu ataitawala tena Zanzibar.
Haitakuwa.
 
Back
Top Bottom