Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

Kwa watu tunaoelewa stock exchange market tunajua Elon yupo kwenye pull back session. Siku share zake zikianza kupanda utamkuta kwenye dola bilioni 250. Tek note
 
Hisa zake kwenye Tesla zimeshuka. Na labda akutimiza masharti flan ya Freemason
Sidhani kama unafahamu Freemason ni nini ila tatizo mnapenda tu kukariri mambo ya kiswahili swahili na ndio maana watu huku sasa wanalitumia hilo neno kufanya utapeli.

Nenda usome uelewe ni nini na uachane na mambo ya kwenye vijiwe ila kwa kuwa kusoma ni tatizo la watanzania wengi sidhani kama utasoma hivyo utabaki hivyo hivyo ulivyo karirishwa.
 
Wee endelea tu kutoa kafara ndugu na wapendwa wako. Itafika zamu yako watakunyofoa pumbu.

Bladinugu
 

Akili za kimaskini.
 
Aisee, tuna safari ndefu sana
 
Hivi huwa mnaamini hizo takwimu za forbes!? Huko arabuni kuna mabilionea zaidi ya huyo elon
 
Mo na Bakhresa wamekusaidia nini hadi sasa?. Kapime mkojo itakua una shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicheke kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo jamaa anaweza kurudi pale juu siku yoyote hata kama ni mwakani, alafu furaha yako itakua imemalizika tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pambania pesa yako angalau ujulikane hata kwenye kata yenu
 
Nimekuangalia kwenye nyuzi na comments zako nyingi inaonekana ni mtu wa wivu na Roho mbaya, mfano unavyoserekea musk kushuka inafaida gani kwenye maisha yako
 
Nimekuangalia kwenye nyuzi na comments zako nyingi inaonekana ni mtu wa wivu na Roho mbaya, mfano unavyoserekea musk kushuka inafaida gani kwenye maisha yako
Mimi nataka wote tuwe sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…