hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
Kwanza hawa watu hawana feelings wala emotions, huwa wapo mahali kwa interest maalum, atakuambia anakupenda kumbe story, siku akipata anachokitaka ndio utajua alikua hakupendi.Wababe na wakikosea wanajitutumua na kujificha na kosa,kuna vitu hujuvunia.
Binti,
Siyo rahisi mwanaume kukuomba msamaha. Ukishindwa kujua na kuishi na hilo utawabadilisha wanaume wee, mwishowe utajipatia majina mabaya na utaonekana hufai
Mimi pia binadamu kwanini mtu anitendee ambavyo akitendewa hatopendaBinti,
Siyo rahisi mwanaume kukuomba msamaha. Ukishindwa kujua na kuishi na hilo utawabadilisha wanaume wee, mwishowe utajipatia majina mabaya na utaonekana hufai
Duh! Hapo kumbe ndiyo huwa ipo hivyoKwanza hawa watu hawana feelings wala emotions, huwa wapo mahali kwa interest maalum, atakuambia anakupenda kumbe story, siku akipata anachokitaka ndio utajua alikua hakupendi.
Asante sana mkuu, sijui kama tutafika mbali kwa hizi tabia zake🥲Kwa kidhungu inaitwa Gaslighting na inatumika sana na watu wanaitwa Narcissist. Ukiweza kugoogke tabia za hao watu ukawajua kiundani utaamua mwenyewe uishi nae au upige chini. Ila pole sana
😁😁😁dah! Mbona unasema hivyo mkuu, kuanzisha mahusiano mapya ni kazi sana unaweza kupata mtu mwingine akawa wa hovyo kuliko uliyemuachaKama Unamsikilizia Basi huna Nguvu ya Kumuacha endelea kungangania tu mana Kenge huwa hasikii mpaka atoke damu masikioni
Hizi tabia naonaga kuna muda kama hata upendo hakuna aiseeNiamini Mimi,mbona hayuko nao waliojaa yupo na wewe.Ngoma yataka matao
But nobody is perfect naweza kukimbia nikaenda kuangukia pabaya zaidiKimbiaaaa...no time to die younger
Chagua kwa utulivu jizungushe vuta muda,Mahusiano ndo huzaa mimba na ndoa.UKUWA MTULIVU UNAPATA ILA MSIKILIZIE KIMACHALE.😁😁😁dah! Mbona unasema hivyo mkuu, kuanzisha mahusiano mapya ni kazi sana unaweza kupata mtu mwingine akawa wa hovyo kuliko uliyemuacha
Huyo kajificha chini ya banda mvua ikinyesha ikanyamaza ataondoka.Nunachohisi anajua UNAMPENDA SAANA.Hivyo anakubimbilishabimbilisha.Hizi tabia naonaga kuna muda kama hata upendo hakuna aisee
Unataka usawa?!Mimi pia binadamu kwanini mtu anitendee ambavyo akitendewa hatopenda
my x yf alikua na hyo tabia, akikosea haomb msamaha, tena yey ndo anakua wakulalamika ili aombwe msamaha yey.Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.
Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.
Mtu ambaye anakasirishwa na vitu vidogo, huwa mnaishi vipi na watu kama hawa nipate idea
Ninajua hilo na huwa ninajishusha sana tu lakini hii tabia ya kukasirika na yeye ndo mwenye makosa haipo sawaUnataka usawa?!
Ukiona unapenda sana usawa hakuna shida, jiunge na kundi la #Kataa Ndoa!
Mke mwema huwa anajua kusamehe bila kuombwa msamaha ili kulinda amani yake na mahusiano na mwenza wake kwa ujumla, maana anajua mume haombi msamaha
Kweli mkuu, ngoja nisubiri nione mwishowe kama atabadilika au lah!Chagua kwa utulivu jizungushe vuta muda,Mahusiano ndo huzaa mimba na ndoa.UKUWA MTULIVU UNAPATA ILA MSIKILIZIE KIMACHALE.
Ninacho hakuna kitu kikubwa ninachomtegemeaHakikisha una kipato chako
Hapa ananikosea sana itabidi ni balance mambo asione kama mimi ndo namuhitaji sanaHuyo kajificha chini ya banda mvua ikinyesha ikanyamaza ataondoka.Nunachohisi anajua UNAMPENDA SAANA.Hivyo anakubimbilishabimbilisha.
Sawa, BAKIIIIIBut nobody is perfect naweza kukimbia nikaenda kuangukia pabaya zaidi
Mdeku kimachale ila ukimtema atakusumbua sana,Ndo atakumbuka kumbe nilikuwa namuudhi.Ninacho hakuna kitu kikubwa ninachomtegemea
Kuwapandishia vioo. Kuwakataa. Kukata nao mazoea. Na hawa kwa nyanja ya saikolojia ya mwanadamu huitwa Narcissists . Na wana ugonjwa wa akili ujulikanao kama narcissistic personality disorder 🤔🤔. Wataalam watajazia nyama nyama.Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika sana.
Mtu ambaye yeye akikosea anaweza hata asiombe msamaha.
Mtu ambaye anakasirishwa na vitu vidogo, huwa mnaishi vipi na watu kama hawa nipate idea🤔