Watu wa aina hii huwa mnaishi nao vipi?

Huyo bado mpo pamoja au mmeachana? Kama mmeachana bado anakupenda
Tulishatengana,Kwa sasa ndio ananipenda kweli kabisa sababu tulipotengana kuna mambo mengi yalimwendea kombo namimi nilishaoa kabisa.Sasa anatamani hata uhawara ila Mimi huwa sipendi kuzungumzia nae,Ndio maana nikakwambia alikuwa bhajui kama nipo dar mpaka alipoambiwa na nduguze.Sasa hatuongei kwa kuwa mimi simsemeshagi tena.
 
Kwani kakosea nini mbona hukisemi?
 
Hiy
Hapo lazima ajute akiangalia wewe umeoa yeye kama hajaolewa lazima aumie
 
Watu wa hivi kila vita ni lazima apigane.
Hakuna kosa dogo kwao, kila kosa ni kosa kubwa.

Watu wa hivi sio jukumu lako kuwabadirisha.
Jukumu lako pekee ni kuwa mbali nao, na wasiwe sehemu ya maisha yako.
Na akiwa mke/mume hesabu maumivu, hata maombi hayasaidii.
 
Duh! Hawa watu ni hatari sana kumbe
 
Mimi kwa kweli nakucut off na nakwambia kabisa siwezi kuwa around mtu asiejua kama amekosea.

Huyo ni mtu dhaifu na wanakuaga walalamishi Pia. Mkate mkuu
 

Puuza upuuzi
 
Mimi kwa kweli nakucut off na nakwambia kabisa siwezi kuwa around mtu asiejua kama amekosea.

Huyo ni mtu dhaifu na wanakuaga walalamishi Pia. Mkate mkuu
Yaani ukimkosea hilo kosa ataliongelea hadi siku nyingine
 
Kabisa ... wanakuwaga toxic sana watu wa aina hii. Na ni ngumu wao kujikubali kwamba hiyo hali yao ni tatizo kwao na kwa wengine
 
Atakuwa alilelewa Ki-malkia huyo.
 
Watu wa aina hiyo si watu wazuri kwakweli, hujikuta wakamilifu sana yaani usikosee hata kidogo. Mimi watu wa aina hii nawaambia Kwa maneno makavu kabisa na hata kutengana naweza nikafanya sijali chochote kile, Kuna mambo mengi ya kufanya. Athari yake hiyo ni kuzaa chuki Kali Kila mnapoendelea kuonana ama kuishi pamoja na kama emotional intelligence yako si nzuri anaweza akakuambukiza mkawa mnafanana.
 

Hisia zinaambukiza. Mfano mdogo mtu akija kwako anaongea nawe huku ana smile πŸ˜ƒ 😊 πŸ˜€ nawe uta smile πŸ˜ƒ 😊 πŸ˜€ hata kama hujasikia vizuri anachoongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…