Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Una huruma sana me hata mwakani nisingemfataHata mimi niliwahi kumuacha mtu sababu ya ujinga wake. Alipofika ndio ananiambia niende nikamchukue,wakati anatoka mkoani hakuniambia.
Nikamwambia alale hapo, nitaenda kesho asubuhi kwa kuwa huku niliko kwa majira haya kuna Panya road.
Aligongwa na mbu usiku mzima nikaenda kesho saa 4 asubuhi.
Hilo lilikuwa fundisho, kwa sasa kila akitaka kuja lazima anipigie.
Atanisaidia ??Kwani ukimwambia una maisha magumu itakuwaje.
Mwambie ukweli asipotee darAtanisaidia ??
[emoji23][emoji23][emoji1787]Kuna jamaa Alifika stendi ya Magufuli wakati ndugu anamuuliza uko wapi yeye Akamwambia njoo hapa Kuna Taa inawaka sana
Msimu wa kuvuna na kuuza mazao hakuna anaetelekezwa.Hao ndugu ni WA kuanzia Miaka mingapi?18 -,20 hao unawapa nauli warudi nyumbani hao wengine achana nao watachagua wenyewe wabaki mtaani au warudi nyumbani unaendaje Kwa watu eti kusalimia tu
[emoji1787][emoji1787] hivi haya mambo ni kweli au mnafurahisha watu humuWanakuja kiboya mtu anakupigia simu ghafla "nipo chalinze nimeazima simu ya jirani yangu hapa" kwanini nisizime simu ili ujifunze
Maisha ya Dar ni mchakamchakaKabisa kabisa
Hawakufanya vizuri. Popote mtu anapoenda iwe mjini au kijijini kutoa taarifa ni jambo jema. Unawapa wenyeji wako muda wamapokezi mazuri. Binafsi sijawai kukutwa na scenario ya hivi. Sipati picha mlikasirika kiasi gani. Na ukute fridge liko empty kabisa.Kuna ndugu zetu walisema Mzee anataka kuja hosp
Tukawaambia sawa,ila sisi tunashinda kazini kama wanga saa 11 asbh tunaondokakurudi nj usiku saa3,hivyo kama ni kuja basi aje na kijana ambaye atamsaidia Mzee .
Wakaona tunawabania..
Kwahiyo wakaahirisha kuja kwetu..wakasafiri kimyakimya.
Kumbe kule Kaka yao alimtafuta schoolmate wake,ambaye hata walikuwa hawawasiliani...akamwambia awapokee ndugu zake hao.
Jamaa eti wamewasiliana vizuri, baadaye akapotea hewani.
Alipotea mazima.
Sisi hatuna hili wala lile,Saa2 usiku tunapigiwa simu na hao wasafiri kututaarifu kuwa wapo njiani ,tuende kuwapokea,,na wamekaribia Mbezi.
Imagine mtu hakukutafuta hata kukujulisha kama anasafiri,,anakuja kushtua tu usiku huohuo ukampokee.
Tulishakula ,tunajiandaa kulala.
Tukaanza kuhaha kupika upya,,it's tiresome.,kutafuta mboga na Nini.
Ndugu zetu wa mikoani muwe wastaarabu.
Hata ingekua wewe unashindia mihogo na maji na unalala kwenye kachumba kadogo mvua ikinyesha maji yanajaa kama umelala kwenye mtungi ungekubali kupokea ndugu?
Mi siyo mtu wa daslam lakini nawapongeza kwa ujanja ujanja huo wa kuzima simu na kukimbia ndugu ukienda tu kuoga wanakwambia bafu halina mlango nenda na shuka uweke mlangoni, sasa akupokee na wewe atakulisha nini si mtachemsha matawi ya mpapai ndo iwe mboga
Za masiku Dejane😊Na mtu anaishi kwako halipi kodi na hajiongezi wala kusaidia chochote kulipa bill ya maji au umeme ni mwendo wa kuteleza
Point hii.Angekuwa ndugu wa damu nisingewaza mkuu.kwanza ndugu mwenye uchungu na wewe hawezi kuja kwako ovyo ovyo
Ndo shida ya waTz tunataka tuonekane tuko juu.Sema tu ukweli maana nchi nzima Hali mbayaKwani ukimwambia una maisha magumu itakuwaje.
Na uchumi huu ni kutafutiana lawama.Na mtu anaishi kwako halipi kodi na hajiongezi wala kusaidia chochote kulipa bill ya maji au umeme ni mwendo wa kuteleza
Acha tu Mkuu.Hawakufanya vizuri. Popote mtu anapoenda iwe mjini au kijijini kutoa taarifa ni jambo jema. Unawapa wenyeji wako muda wamapokezi mazuri. Binafsi sijawai kukutwa na scenario ya hivi. Sipati picha mlikasirika kiasi gani. Na ukute fridge liko empty kabisa.