Uko sahii kabisa...magari unakuta yapo ya nyuma wazii,mdada na kitumboo chake au mama mtu mzima,babuu anangangania kupanda lililo jaa akitegemea huruma za wajaa asee siku pishi.kuna mmoja aliniambia kijana kwenu hakuna wazee Nika mwambia walisha kufaa wote.Wengine ni viherehere..unakuta magari yapo mengi yamepanga foleni hlf anakuja kupanda lililojaa. Simpishi kwa kweli..
[emoji2][emoji2][emoji2] wewe kauzu kweli, sio kwa jibu hiloUko sahii kabisa...magari unakuta yapo ya nyuma wazii,mdada na kitumboo chake au mama mtu mzima,babuu anangangania kupanda lililo jaa akitegemea huruma za wajaa asee siku pishi.kuna mmoja aliniambia kijana kwenu hakuna wazee Nika mwambia walisha kufaa wote.
Kauzu kweli kweli wanakeraa.....unataka kutumia uzee wako kuja kutunyanyasa.nakwambia daladala zima iligeuka kuniangalia mi kimya busy na simu,akaropoka abiria mmoja vijanaa wa siku hizi hadabu hakuna,nikamwambia Ni rahisi tu simamaa wewe akae....hakusimama[emoji2][emoji2][emoji2] wewe kauzu kweli, sio kwa jibu hilo
Hakuna kosa sijaliona.km gar hamna siti wazi unatakaje.Kila mtu amejichokea na mahangaiko yakUkisema Dar pekee ni unakosea. Hata huku mikoani tabia hizi tunazo mkuu
Samahani mkuu yawezakuwa hujanielewa.Hakuna kosa sijaliona.km gar hamna siti wazi unatakaje.Kila mtu amejichokea na mahangaiko yak
Kweli kila mtu apambane kivyake, tusilazimishaneKauzu kweli kweli wanakeraa.....unataka kutumia uzee wako kuja kutunyanyasa.nakwambia daladala zima iligeuka kuniangalia mi kimya busy na simu,akaropoka abiria mmoja vijanaa wa siku hizi hadabu hakuna,nikamwambia Ni rahisi tu simamaa wewe akae....hakusimama
Ni makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la Gongo la Mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Kivipi?Iyo 2004 Ungeeka 2019 Ningesema Ni Yeye?
Huyo wa kugeuza na gara vingunguti adi gomz ni mjinga toka ijengwe flyover vingunguti na posta ni dk tuUnakuta mtu kageuza na gari tokea vingunguti hadi Gomzi unadhan huyo atakupisha vipi?
๐๐๐๐kwahy kipnd iko waliktesa sana daa pole๐๐walipizie adi wakuomb msamahaNi makusudi. Hasa wadada wenye mimba. Pia nalipiza maana kipindi nina tumbo langu hakuna aliyekuwa ananipisha seat. Imagine kupata gari la Gongo la Mboto ilivyokuwa mbinde enzi hizo 2004
Nani ataniomba msamaha? [emoji2][emoji2] Dawa ni kulipiza tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwahy kipnd iko waliktesa sana daa pole[emoji2][emoji2]walipizie adi wakuomb msamaha
te te te dawa ya moto ni moto ๐ ๐ hadi waende Un kushtakiNani ataniomba msamaha? [emoji2][emoji2] Dawa ni kulipiza tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pale hiari inapogeuka lazima.
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Exactly, unakuta limtu linapandia makumbusho stendi kabisa na linataka watu walihurumie kuliachia siti wakati lingesubiri lingekaa...nashangaaga sana watu wanaofanyaga hivi afu wanaona watu wabaya
Uchumi wa kati wa chini [emoji2][emoji2]Mtu anapanda huku kaona basi, limejaa, makusudi, hajui wenzake wamechoshwa vipi na haya maisha ya Uchumi wa Kati wa chini.
Everyday is Saturday.......................... ๐