Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Kuna demu mmoja huko daslam analalamika ameshtukiza kwenda nyumbani kwa boyfriend wake muuza simu makumbusho..... Kafika kwake bisha hodi hola jamaa hafungui ila ndani kuna sauti ya mziki akafungua mlango ukafunguka jamaa alisahau kufunga, ile kutimba ndani anakuta baharia analiwa kiboga.... Maisha ya dar yanawapeleka puta sana.