Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

Bila salamu!

Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta.

Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya chungu ndio maana siku ya sikukuu na Mitoko yenu mkienda location mnajisnap, ati mnataka tuwaone mnakula maisha. Mbona mkila zile nyanya chungu zenu na bamia hampost wajinga nyie.

Msidhani hatujui moto unaowawakia hapo mwendokasi na kwenye Daladala. Tunajua sema tunawachora tuu mnavyokuja kujisemesha. Wapi kuna dungadunga kama sio Daslamu.

Kazi kuvizia vizia mishangazi iwalee. Unafikiri hatujui. Tutaachaje kujua wakati Waganga mnaowafuataga wanatoka huku mikoani. Kijana mdogo unachale mpaka Ikweta kisa kutafuta mishangazi. Alafu unadhani ni siri. Mnajidanganya sana.

Sisi wamikoani tutabaki kuwa Baba zenu. Mkopo tulishapita miaka mingi sana.

Mnajidanganya na hayo magorofa ambayo sio yenu. Hivi ukipiga picha kwenye ghorofa inamaanisha nini kama sio ushamba maboya ninyi. Ghorofa sio lako, na hutokuja kulimiliki lakini kijana kayamaliza majengo yote ya Daslamu.kazi kupost tuu.
Utasikia, now Kempinski Hotel, mara life good at Serena, mbuzi nyie. Mmelogwa sio bure.

Nitapiga mtu Hapa.
Mapovu ya nini Mkuu...!!?
Mbona nyinyi mnapiga picha Kwenye Nyanya za watu (Mashamba) Matikiti, kwenye Mashamba ya Viazi na Makebiji (Gabage) za Wakulima wa huku Mjini, hatuwasemi...!!?😂😂😂
 
Bila salamu!

Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta.

Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya chungu ndio maana siku ya sikukuu na Mitoko yenu mkienda location mnajisnap, ati mnataka tuwaone mnakula maisha. Mbona mkila zile nyanya chungu zenu na bamia hampost wajinga nyie.

Msidhani hatujui moto unaowawakia hapo mwendokasi na kwenye Daladala. Tunajua sema tunawachora tuu mnavyokuja kujisemesha. Wapi kuna dungadunga kama sio Daslamu.

Kazi kuvizia vizia mishangazi iwalee. Unafikiri hatujui. Tutaachaje kujua wakati Waganga mnaowafuataga wanatoka huku mikoani. Kijana mdogo unachale mpaka Ikweta kisa kutafuta mishangazi. Alafu unadhani ni siri. Mnajidanganya sana.

Sisi wamikoani tutabaki kuwa Baba zenu. Mkopo tulishapita miaka mingi sana.

Mnajidanganya na hayo magorofa ambayo sio yenu. Hivi ukipiga picha kwenye ghorofa inamaanisha nini kama sio ushamba maboya ninyi. Ghorofa sio lako, na hutokuja kulimiliki lakini kijana kayamaliza majengo yote ya Daslamu.kazi kupost tuu.
Utasikia, now Kempinski Hotel, mara life good at Serena, mbuzi nyie. Mmelogwa sio bure.

Nitapiga mtu Hapa.
Mzee acha ushamba Kila sehemu kunawanao pigika na wanao kula maisha
 
Wanavyo jikuta wanajua maisha sasa huwaambii kitu wakakuelewa, wako choka mbaya wananuka kajunde alafu wanajifanya maisha safi, wakija Kijijini huku na vinguo vyao vya mitumba nikudanganya vimabinti vya Kijijini ndio wanajua, niwakumbushe tuu yakiwashinda huko mjini rudini huku tuendelee kulima "mali utaipata shambani" acheni kukaza mafuvu shenziiiiiiiiiiii kabisa nyie
Wakirudi huwa wanawagongea wake zenu nini?
 
Nasoma na kurudi juu tena na tena kuhakiki ni wewe mtibeli unatunanga hivi? Usiweke machungwa yote kwenye tenga moja bwana. Relax kunywa maji mengi.Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Bila salamu!

Mnajifanya wajanja sana, maneno mengi kama machinga wa kampuni wanaotembeza bidhaa. Mnatuona tuliopo mkoani kama mmetupiga KO lakini sisi tunawadere tuu, tunawalia gap, tunajua mbele kuna tuta.

Msidhani hatuna habari zenu. Tunazo sana. Tunajua chakula chenu kikuu ni Ugali nyanya chungu ndio maana siku ya sikukuu na Mitoko yenu mkienda location mnajisnap, ati mnataka tuwaone mnakula maisha. Mbona mkila zile nyanya chungu zenu na bamia hampost wajinga nyie.

Msidhani hatujui moto unaowawakia hapo mwendokasi na kwenye Daladala. Tunajua sema tunawachora tuu mnavyokuja kujisemesha. Wapi kuna dungadunga kama sio Daslamu.

Kazi kuvizia vizia mishangazi iwalee. Unafikiri hatujui. Tutaachaje kujua wakati Waganga mnaowafuataga wanatoka huku mikoani. Kijana mdogo unachale mpaka Ikweta kisa kutafuta mishangazi. Alafu unadhani ni siri. Mnajidanganya sana.

Sisi wamikoani tutabaki kuwa Baba zenu. Mkopo tulishapita miaka mingi sana.

Mnajidanganya na hayo magorofa ambayo sio yenu. Hivi ukipiga picha kwenye ghorofa inamaanisha nini kama sio ushamba maboya ninyi. Ghorofa sio lako, na hutokuja kulimiliki lakini kijana kayamaliza majengo yote ya Daslamu.kazi kupost tuu.
Utasikia, now Kempinski Hotel, mara life good at Serena, mbuzi nyie. Mmelogwa sio bure.

Nitapiga mtu Hapa.
Kwasasa Daresalama
 
Kwa nini watu wa Dar mkienda huko vijijini mnabandua pisi za walugaluga, ona sasa wamekuja kuwaanzishieni uzi..
Wakirudi huwa wanawagongea wake zenu nini?
Hawana hiyo jeuri wanaishi kwa vibinti vya mtaani tunaviita washa washa, wake za watu watachukua huko huko kwa wala chips wenzao huku wanajua nini kitawakuta
 
Nasoma na kurudi juu tena na tena kuhakiki ni wewe mtibeli unatunanga hivi? Usiweke machungwa yote kwenye tenga moja bwana. Relax kunywa maji mengi.Kila mtu ashinde mechi zake.

Mpaka hasira zangu ziishe mkuu. Vumilieni tuu
 
Hii ndio tunaita kufatiliana maisha, ishi huko mkoani kwa furaha zako na waache wana-daslam waishi wanavyoona inafaa.
Huko kwenu ugali-nyanya chungu sio chakula?
 
Back
Top Bottom