Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

Watu wa Daslamu msidhani hatujui kinachowapata huku mjini

Ugali bamia na nyanya chungu ni mtamu sana, hasa ukute imechnagnywa na dagaa! Aloo! [emoji1787][emoji1787]

Na ukila hivyo hutakaa usikie kisukari, BP na ndugu zake wote.
 
Nini kimekupata mkuu ulivyokuja Dar? Watu wa Dar sio wazuri ona sasa mmeishamuaribu kijana wa watu! Pole sana mkuu!

Yaani muandiko sio wake kabisa, wamemvuruga. Hakuna fasihi wala fasaha leo.
 
Wamama wa Daslamu huwaambii kitu kuhusu Mwamposa
 
Dar ni balaa!

Ukishindwa maisha dar hutayaweza popote
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Tulia kijana!

Wewe endelea kupauka huko mkoani

😀😀
Siri zenu zote tunazo.
Mmoja huku mkoani lazima muende Karume mkanunue nguo ndio mje ili tuwaone mmetakata.

Tukiwashtukiza hamtaki kwa sababu mnajua hali zenu alijojo
 
Back
Top Bottom