PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hahahaha 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sanaaaa aisee!!!!!!!Hiyo ndio moment ambayo hata nguruwe analika bila shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sanaaaa aisee!!!!!!!Hiyo ndio moment ambayo hata nguruwe analika bila shida
Mkuu vita sio kuamka tu hapo Buza an kugombana na jirani wa chumba cha pili.Ukiwa na sababu ya kufanya kitu kama kuokoa watu hujali nani anakuangalia.
Halafu kabla ya kufanya hiyo kazi atangaze kwamba mimi napeleka chakula Gaza atakayenifuata kunipiga atakiona cha mtema kuni.Kwani Misri ina shehena tani ngapi za silaha kuliko Hamas.Wakiamua kuipiga kwa kupeleka chakula na yeye anapiga kama Houth na Hizbollah.Atapata hasara gani ?
Safi sana.Wapalestina wametelekezwa
Kulika analika tu kila siku ila kwa kujificha. Sema hiyo ndo moment ya nguruwe kulika hadharani.Hiyo ndio moment ambayo hata nguruwe analika bila shida
Hilo bwegehayo hayafahamMkuu vita sio kuamka tu hapo Buza ana kugombana na jirani wa chumba cha pili.
Vita ina mambo mengi sana kiongozi. Inabidi kidogo uchimbe chimbe uelewe vita ni nini, ujue maana ya allies, ujue aina za silaha, ujue strategic positions n.k
Watu wanafikiria vita ni kitu chepesi tu nchi ikiamua inaanza kurusha tu kombora.Hilo bwegehayo hayafaham
Mkaldayo Iran muoga. Unakumbuka mkwara wake takriban miezi mwili iliyopita eti if Israel crosses the red line and enter GazaWatu wanafikiria vita ni kitu chepesi tu nchi ikiamua inaanza kurusha tu kombora.
Ndio maana wengi utakuta wanaanza kulaumu mbona Iran, Misri hawamshambulii Israel wammalize chap chap mambo yaishe. 🤣
Alivyojieleza mwenyewe kwa Antony blinken ni kuwa yeye ni muarabu lakini aliyelelewa katikati ya wayahudi.Sasa inaonekana roho imeathirika na ubaya wa waliomlea na ndio maana akachaguliwa achukue nafasi ya Muhammed Morsi.Yeye ni kiongozi wa mwanzo aliyeamrisha vifaru viponde ponde waandamanaji waliokuwa wamepiga kambi kwenye uwanja wa mashujaa.Watu kwa maelfu walikufa kwa kukanyagwa na vifaru.Hakuna aliyemshtaki wala aliyemlaumu kutoka mataifa ya nje.Kiongozi wa Misri ni Myahudi inavyo semekana, afu nilisha sema ninarudia kusema warabu ndio wanao blocked Palestine sio Israel.
Warabu wangeachia vyakula viende Israel asongefanya lolote, wao wanafanya vile kwa sababu wanafahamu Hamasi akishinda vita wao hawatabaki kwenye viti vyao
Hizi myths msituleteeUsimlaumu Rais Al-Sisi, mwanzoni mwa miaka ya 1960s Misri ilijaribu kujiingiza kwenye huo mgogoro ili kuwatetea Wapalestina, ilichoambulia ni kupigwa vibaya kwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Israel.
Hujanizidi mie nnavyotamaniNatamani watokee mashujaa kama wale wa wakati wa Anwar Saadat au wale mashujaa wa Niger.
Sio muoga. Lazima kufanya feasibility kwanza kama wanachoplan kufanya kitawezekana ukizingatia kuna mambo mengi kama US kusogeza meli hapo jiraji. Pia kumbuka Iran kwenyewe kulikuwa na fukuto ndani kwa ndani mambo ya haki sijui nini na maandamano ya hapa na pale.Mkaldayo Iran muoga. Unakumbuka mkwara wake takriban miezi mwili iliyopita eti if Israel crosses the red line and enter Gaza
Al Sisi ni myahudi, Kapandikizwa tu Misri. Kama ilivyo kwa Wasaudi na Jordan.Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.
Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu ambacho hakikuwepo Gaza kabla ya vita.
Vyakula kwa ajili ya wapalestina hao vimejaa kwenye magari ndani ya nchi ya Misri lakini ni lazima vipate ruhusa ya Israel kuingia eneo ijapokuwa Gaza haijapaka na Israel.
Kuna athari gani iwapo Misri itaanza kuchukua maamuzi ya kupeleka misaada Gaza bila kuomba ruhusa ya Israel na kwa upande mwengine nani anayesimamia kutekelezwa kwa matakwa ya Israel ndani ya Misri.
Hizi nchi tatu ndio adui wa wapalestina .Al Sisi ni myahudi, Kapandikizwa to Misri. Kama ilivyo kwa Wasaudi na Jordan.
Qattar wana huruma iliyoambatana na unafiki na woga.Wamisri, Wasaudi. UAE, Kuwait, Qatar na Iraq ya sasa wote ni mapandikizi ya Kiyahudi.
Nchi za kutegemea kidogo ni Syria, na Yemen wenyewe wapo mashakani.
Waturuki nao wanafik tu.
Kweli, Hamas washikilie mpaka mtu wa mwisho na Wananchi wa hizo nchi za wanafik wawageuke serikali zao.Hizi nchi tatu ndio adui wa wapalestina .
Hamas washikilie hapo hapo.Ni kufa au kupona na hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai.
siku zijazo hizi nchi jirani na Gaza hazitakalika na viongozi wake kula pilau na biriani kwa soda kwa furaha tena