Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

Hiyo ndio moment ambayo hata nguruwe analika bila shida
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ nimecheka sanaaaa aisee!!!!!!!
 
Mkuu vita sio kuamka tu hapo Buza an kugombana na jirani wa chumba cha pili.

Vita ina mambo mengi sana kiongozi. Inabidi kidogo uchimbe chimbe uelewe vita ni nini, ujue maana ya allies, ujue aina za silaha, ujue strategic positions n.k
 
Mkuu vita sio kuamka tu hapo Buza ana kugombana na jirani wa chumba cha pili.

Vita ina mambo mengi sana kiongozi. Inabidi kidogo uchimbe chimbe uelewe vita ni nini, ujue maana ya allies, ujue aina za silaha, ujue strategic positions n.k
Hilo bwegehayo hayafaham
 
Hilo bwegehayo hayafaham
Watu wanafikiria vita ni kitu chepesi tu nchi ikiamua inaanza kurusha tu kombora.

Ndio maana wengi utakuta wanaanza kulaumu mbona Iran, Misri hawamshambulii Israel wammalize chap chap mambo yaishe. 🀣
 
Watu wanafikiria vita ni kitu chepesi tu nchi ikiamua inaanza kurusha tu kombora.

Ndio maana wengi utakuta wanaanza kulaumu mbona Iran, Misri hawamshambulii Israel wammalize chap chap mambo yaishe. 🀣
Mkaldayo Iran muoga. Unakumbuka mkwara wake takriban miezi mwili iliyopita eti if Israel crosses the red line and enter Gaza
 
Alivyojieleza mwenyewe kwa Antony blinken ni kuwa yeye ni muarabu lakini aliyelelewa katikati ya wayahudi.Sasa inaonekana roho imeathirika na ubaya wa waliomlea na ndio maana akachaguliwa achukue nafasi ya Muhammed Morsi.Yeye ni kiongozi wa mwanzo aliyeamrisha vifaru viponde ponde waandamanaji waliokuwa wamepiga kambi kwenye uwanja wa mashujaa.Watu kwa maelfu walikufa kwa kukanyagwa na vifaru.Hakuna aliyemshtaki wala aliyemlaumu kutoka mataifa ya nje.
asingekuwa na roho ya kiyahudi basi wala asingesubiri ruhusa ya Israel kuingiza maji na chakula Gaza.
Waarabu hata wakiunga mkono kumalizwa kwa Hamas basi kwa kitendo cha kuitelekeza Gaza hawana usalama mbele ya Mwenyezi Mungu.Ni suala la muda tu tutashuhudia wakikumbwa na mikasa ya kutisha mmoja baada ya mwengine.
 
waarabu kinachowaangusha wanazungukana, kuna vibaraka wa wamagharibi wanaotetea ugali wao, wanajua mambo yakienda sivyo lazima na wao wachomolewe
 
Usimlaumu Rais Al-Sisi, mwanzoni mwa miaka ya 1960s Misri ilijaribu kujiingiza kwenye huo mgogoro ili kuwatetea Wapalestina, ilichoambulia ni kupigwa vibaya kwa kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Israel.
Hizi myths msituletee
Kaka hamas tu wameishindwa ijekua misri
Alsisi ni kibaraka wa hao wazayuni na marekani na west kwaujumla
 
Natamani watokee mashujaa kama wale wa wakati wa Anwar Saadat au wale mashujaa wa Niger.
Hujanizidi mie nnavyotamani
Ila sidhanii kwakweli ila hem acha tuone lolote laweza tokea
Ghaza kinachoendelea mtego kwa mataifa mengi ya hapo mashariki ya kati hasa wanaopakana na ghaza
 
Mkaldayo Iran muoga. Unakumbuka mkwara wake takriban miezi mwili iliyopita eti if Israel crosses the red line and enter Gaza
Sio muoga. Lazima kufanya feasibility kwanza kama wanachoplan kufanya kitawezekana ukizingatia kuna mambo mengi kama US kusogeza meli hapo jiraji. Pia kumbuka Iran kwenyewe kulikuwa na fukuto ndani kwa ndani mambo ya haki sijui nini na maandamano ya hapa na pale.

Pia allies wengine wa Iran hawajaonyesha msimamo wa kwamba wanaweza kuingia front mda wowote zaidi ya kuwaambia Israel bluntly kuwa waache kuua raia wasio na hatia.
 
Al Sisi ni myahudi, Kapandikizwa tu Misri. Kama ilivyo kwa Wasaudi na Jordan.
 
Wamisri, Wasaudi. UAE, Kuwait, Qatar na Iraq ya sasa wote ni mapandikizi ya Kiyahudi.

Nchi za kutegemea kidogo ni Syria, na Yemen wenyewe wapo mashakani.

Waturuki nao wanafik tu.
 
Al Sisi ni myahudi, Kapandikizwa to Misri. Kama ilivyo kwa Wasaudi na Jordan.
Hizi nchi tatu ndio adui wa wapalestina .
Hamas washikilie hapo hapo.Ni kufa au kupona na hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai.
siku zijazo hizi nchi jirani na Gaza hazitakalika na viongozi wake kula pilau na biriani kwa soda kwa furaha tena
 
Wamisri, Wasaudi. UAE, Kuwait, Qatar na Iraq ya sasa wote ni mapandikizi ya Kiyahudi.

Nchi za kutegemea kidogo ni Syria, na Yemen wenyewe wapo mashakani.

Waturuki nao wanafik tu.
Qattar wana huruma iliyoambatana na unafiki na woga.
Uturuki kiongozi wao ni mpuuzi sana.Jana anasema Israel wakiwafuata viongozi wa Hamas nchini mwake basi watajua wao ni nani.Ujinga mtupu,
Watu wanakufa kwa mabomu na njaa yeye anawaza kuja kupambana na Mosad watakaokwenda kufuata viongozi wa Hamas nchini kwake.
 
Hizi nchi tatu ndio adui wa wapalestina .
Hamas washikilie hapo hapo.Ni kufa au kupona na hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai.
siku zijazo hizi nchi jirani na Gaza hazitakalika na viongozi wake kula pilau na biriani kwa soda kwa furaha tena
Kweli, Hamas washikilie mpaka mtu wa mwisho na Wananchi wa hizo nchi za wanafik wawageuke serikali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…