Najua hakuna Hamas hata mmoja anayejisalimisha kama anavyotaka Netanyahu tuamini.Wanajua kujisalimisha hakutawasaidia chochote.Kweli, Hamas washikilie mpaka mtu wa mwisho na Wananchi wa hizo nchi za wanafik wawageukwe serikali zao na wananchi.
Ndawoo mgerasi bana wewe huko zako Longido ndani ndani huko lakini unavyoelezea mambo ya Gaza.Gaza ipo under surveillance ya Israel na Marekali ardhini, majini na angani 24/7. So Misri akipitisha malori ya msaada Israel na US watayalipua kabla hayajafikia walegwa.
Hio misaada inayotolewa na UN sehemu kubwa ni marekani wanaotoa, watailipuaje? Tatizo la mpakani UN wameweka mlolongo mrefu wa usalama, magari yanaingia polepole, hayalipuliwi na Israel, ni chuki tuGaza ipo under surveillance ya Israel na Marekani ardhini, majini na angani 24/7. So Misri akipitisha malori ya msaada Israel na US watayalipua kabla hayajafikia walegwa.
Hakuna asiejua UN ni Marekani na Marekani ni Israel.Hio misaada inayotolewa na UN sehemu kubwa ni marekani wanaotoa, watailipuaje? Tatizo la mpakani UN wameweka mlolongo mrefu wa usalama, magari yanaingia polepole, hayalipuliwi na Israel, ni chuki tu
Hamas wap nawakuwafuta nani pole kijanaHamas lazma wafutwe ili wapalestina waishi kwa amani
Hata wewe una nafasi ya kuandika historia ya kuwa shujaaHujanizidi mie nnavyotamani
Ila sidhanii kwakweli ila hem acha tuone lolote laweza tokea
Ghaza kinachoendelea mtego kwa mataifa mengi ya hapo mashariki ya kati hasa wanaopakana na ghaza
Endelea kujidanganya.zama zimebadilika na Hamas,Hizbollah na Houth wameonesha njia kuwa chochote kinawezekana.
Kama myahudi ameweza kupandikiza top leadership ya Misri, UAE, Kuwait,Qatar na Saudi basi ni wazi kuwa Myahudi amewazidi waarabu akili sana.Wamisri, Wasaudi. UAE, Kuwait, Qatar na Iraq ya sasa wote ni mapandikizi ya Kiyahudi.
Nchi za kutegemea kidogo ni Syria, na Yemen wenyewe wapo mashakani.
Waturuki nao wanafik tu.
Ni ukibaraka na ujinga uliojaa vichwani mwao.Si suala la ukali wa Israel.Mabadiliko ya teknolojia yanaifanya Israel iwe dhaifu sana mbele ya majirani zake.Hamas wameonesha mfano.Endelea kujidanganya.
Israel imezungukwa na nchi maadui pande zote, lakini majirani zake wote wanajua kwamba hawawezi kujiingiza moja kwa moja ktk kupigana vita nayo kwa sababu wanajua uwezo wa Israel ktk kupigana vita. Karibu nchi zote majirani na Israel zilishajaribu kupigana vita na Israel lakini zimeshindwa kwani zilipigwa, hivyo wamelazimika kukaa kimya kwenye huo mgogoro.
Sio lazima kila kinachoona nawengine nawewe ukione kijanaIsrahell inapatikana bara gan mkuu? me najua kuna israel 2. Ila hyo ISRAHELL yako hata kwenye raman siioni.
Ukisema Mudi najua unakusudia mtume Muhammad rehma na amani zimshukie. Habari ya wayahudi na Mtume swalaLlaahu alayhi wa sallam huna ubavu wa kuzijadili.Kama huna taarifa mayahudi hawana chao katika akili mbele ya waislamu.Kilichobaki ni ujinga wa waislamu na kupenda dunia tu.Kama myahudi ameweza kupandikiza top leadership ya Misri, UAE, Kuwait,Qatar na Saudi basi ni wazi kuwa Myahudi amewazidi waarabu akili sana.
Wayahudi walimzidi mpaka Mudi akili ndio maana kwenye Quran ameishia tu kulalamika na kuwatupia laana...ambazo hazijafanya kazi mpaka leo.
Toka miaka 1400 wakati wa Mudi mpaka leo Wayahudi wamewazidi akili na watawazidi akili mpaka mwisho wa dunia.
"......... wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai."Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai.
Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu ambacho hakikuwepo Gaza kabla ya vita.
Vyakula kwa ajili ya wapalestina hao vimejaa kwenye magari ndani ya nchi ya Misri lakini ni lazima vipate ruhusa ya Israel kuingia eneo ijapokuwa Gaza haijapaka na Israel.
Kuna athari gani iwapo Misri itaanza kuchukua maamuzi ya kupeleka misaada Gaza bila kuomba ruhusa ya Israel na kwa upande mwengine nani anayesimamia kutekelezwa kwa matakwa ya Israel ndani ya Misri.