Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia?

Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo.

Anajuaje kwamba binadamu usiku haoni?

Seran,
Shytown.
Hii ni evolution na adaptation ya viumbe duniani ndugu. Kila mmoja ''amejifundisha'' mbinu za medani ili kukwepa adui. Ona huyu ndege, akiona adui, yeye huganda na kujifanya ni sehemu ya mti
1783794320506.png
 
Back
Top Bottom