secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #21
Unauza?Ongeza kilo uchukue mzigo bossš
Unauza?Ongeza kilo uchukue mzigo bossš
Sijawahi kujua nimezoea kusikia hawa milion 2-4Wa kienyeji ālaki 5.
Kabisa!Unauza?
Kwanza kabisa wewe fisi unamjua? Au umehadithiwa.Kabisa!
Namjua šKwanza kabisa wewe fisi unamjua? Au umehadithiwa.
Nadhani ni SINORAYAise mbona bei sana, na kwakazi gani ufany fisi
Hivi unahabari kuwa dushelele la fisi linafanana kabisa na la punda.Namjua š
kwani kuna fisi wa kisasa?Wa kienyeji ālaki 5.
Hapana, namzungumzia ng'ombe.kwani kuna fisi wa kisasa?
Sawa saw kumbe Usk ni BMW š¤£.Bei ya kawaida hiyo mkuu, maongezi pia yapo! Magari ya watu usiku hayo!
Sasa mkuu biashara yetu na fisi haina uhusiano na maungo yake kwanini tumchunguze na ni usafiri tu! Ninachojuwa huwa wana chekacheka tu kama wana nyegez basišHivi unahabari kuwa dushelele la fisi linafanana kabisa na la punda.
KabisašSawa saw kumbe Usk ni BMW š¤£.
nikajua wapo fisi wa kisasa tuwanunue watusaidie kwenye usafiriHapana, namzungumzia ng'ombe.
Kwakweli sijui, ila huku kwetu fisi wengi wanamilikiwa na watu, ambapo fisi mmoja utapata kwa shilingi laki 8 tu za kitanzania!
Nimetaka tu nijue iwapo unamjua fisi vizuri ama laa. Wewe labda unamjua fisi maji, yule anayeishi majini.Sasa mkuu biashara yetu na fisi haina uhusiano na maungo yake kwanini tumchunguze na ni usafiri tu! Ninachojuwa huwa wana chekacheka tu kama wana nyegez basiš
La hasha.nikajua wapo fisi wa kisasa tuwanunue watusaidie kwenye usafiri
Fisi maji ndio yukoje?Nimetaka tu nijue iwapo unamjua fisi vizuri ama laa. Wewe labda unamjua fisi maji, yule anayeishi majini.