Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi

Ni natural instinct, pia kujifunza kutokana na mazingira.
Siyo fisi tu.
Fungo, mbwea na wengine hujificha hivyo hivyo wakimuona binadamu usiku Ila ukipiga tochi macho yao yana waumbua yana ng'aa sana.
Vifaranga wa kuku wa kienyeji au kanga au kware wa siku moja wakiona mwewe au binadamu wanajificha haraka kwenye pori au chini ya kitu chochote.
Nguruwe,. Mbuzi, na wanyama wa porini wakizaliwa wanaanza kutafuta nyonyo muda huo huo.
Wanarithi wanakuwa genetically coded bila kufundishwa.
 
Back
Top Bottom