Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sijapendi!Sisi tuna Kinga mafisi ya jike ni kuyapiga mbor.o kwanza
Sijapendi!Sisi tuna Kinga mafisi ya jike ni kuyapiga mbor.o kwanza
Asante kunifungua!Inaitwa NSUMELAKOLE
Ungewauliza wasukuma /wasugunsu na siyo watu wote wa Kanda ya ziwa mkuu.
Haya ndio vimbwanga vya hii dunia Imagine mbuzi wa kuliwa nyama anauxwa 60,000Aise mbona bei sana, na kwakazi gani ufany fisi
1. Jaguar (jagwa)Kuna chui wa aina ngapi?
Huko ndio fisi mnawapa hadi namba za usajili kama magari.Kwakweli sijui, ila huku kwetu fisi wengi wanamilikiwa na watu, ambapo fisi mmoja utapata kwa shilingi laki 8 tu za Kitanzania!😎
Uwongo! Mbona siku Moja ulikuww unamchambua Najma Paul. Yaani ulikuwa unapafahamu hadi kwao.Hahha hata siwafahamu! Na utu uzima huu nikakalie umbea we kuweza😁
Wakurya nao vipi, hawafugi?Ungewauliza wasukuma /wasugunsu na siyo watu wote wa Kanda ya ziwa mkuu.
Hao hawafugi fisi.Tumuulize@bintiwazamani kama anawafahamu mbojo.Wakurya nao vipi, hawafugi?
Kaka zamani Kuna watu walichanjiwa KICHWANI ubongo wa fisii
GENTA ameshatoroka mazima. Huwa anakunaja humu kwa kuvizia.
Kweli hii?Basi hawa watoto waliofaulu mitihani yao kwa asilimia 99.8 lazima fisi walihusika.Kaka zamani Kuna watu walichanjiwa KICHWANI ubongo wa fisii
Kwenye masomo ukichanjia ubongo wa fisii yaani unayo soma ndio yanatoka kwenye mtihani
Leopard hatanisbua.1. Jaguar (jagwa)
2. leopard (chuii)
3. Cheetah (duma)
4. Tiger (chuimilia)
5. Black panther(chui mweusi)
6. Serval (mondo)
Kati ya hao unaweza mpgia yupi nyeto?
Hilo swali ungelielekeza kwa wataalamu wa wanyama na siyo watu wa kanda ya ziwa.
Dah! 😅 We Mzee ni noma sana. Mbojo asilimia 95 ya members wote humu hawamfahamu.Hao hawafugi fisi.Tumuulize@bintiwazamani kama anawafahamu mbojo.
Mbona JF tunaye@mtemimbojo?Dah! 😅 We Mzee ni noma sana. Mbojo asilimia 95 ya members wote humu hawamfahamu.
Kaka sehemu gani hiyo?Kaka zamani Kuna watu walichanjiwa KICHWANI ubongo wa fisii
Kwenye masomo ukichanjia ubongo wa fisii yaani unayo soma ndio yanatoka kwenye mtihani