Watu wa Kanda ya Ziwa punguzeni au acheni utaratibu wa kuchanja chale

Tuache bahn kila tribe na utaratibu wake
 
Uko sahihi 100% all my girl friend zaidi ya watatu nilio kutana nao wana chale, kifuani au mgongoni katikati sijui wana wawekea dawa gani hiyo.....
 
Wengine ni utamaduni wao kama wakurya,wamasaie ,wamakonde ila wasukuma baadhi wanachanja wale wacheza ngoma kama urembo. Wanaobakia ni yale mambo ya upande wa kienyeji hasa vijijini huko elimu inahitajika sana
 
Nipo Kanda ya ziwa aisee ulivyoongea ukweli mtupu, nilikuwa nademu mmoja hivi dah chale kuanzia kwenye kope juu, mikononi, mgongoni Hadi kiunoni afu mweupe yule manzi sema nikala nikapita hivi, nikaingiya tinde, isaka, kagongwa, kahama, masumbwe wapi sijuhi runzewe wanawake niliokutana nao wenye asili ya huko wanachale aisee Hadi nikawa najiuliza mwenyewe ila Mimi napiga na chale zao hivyo hivyo akina Mwangaluka mayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…