BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
Jamaa yupi huyo?Kwani tumekwambia ki kujilinda na kifo, we tuache......
Yule jamaa alikua anaogopeka nchi nzima yani akisimama hakuna wa kusema ngw'e unadhani kawaida hiyo?? Ni covid pekee ndo ilisema ngw'eee
Alikuwa anaogopeka kwa sababu ya chale au ubabe wake?Kwani tumekwambia ki kujilinda na kifo, we tuache......
Yule jamaa alikua anaogopeka nchi nzima yani akisimama hakuna wa kusema ngw'e unadhani kawaida hiyo?? Ni covid pekee ndo ilisema ngw'eee
Yapi hayo, unajidanganyaKuna makabila chale ni urembo
Umekulia kanda ya ziwa gani ambapo hawachanji Chale.Nimekulia huko sijawahi kuona hilo labda kama mamako alichanjwa niulize yeye
USSR
Nishakutana na pisi kadhaa zina chale na ukiwauliza utasikia hii nilichanjwa enzi nikiwa mtoto sijielewi ila sisi hatuna mambo ya Ushirikina.Wapunguze kuna haja gani ya kumchafua mtu na chale kiunoni, kifuani, tumboni, usoni, mikononi?
Kuna shida mahali ndio maana wakifika mjini wengi wanazifuta.
unamuandaa unafika kifuani chale kibao, siwezi pitisha ulimi wangu juu ya chale 😅We kula mbususu..chale zake muachie
Simama na wewe uwe mbabe hata mtaani kwako uone kama kuna mtu utamtingisha hasahasa tu utapigwa makonzi.....Alikuwa anaogopeka kwa sababu ya chale au ubabe wake?
Kuna mtu jana alikua ananiambia kanda hiyo na ushirikina ni kawaida kwa hiyo hao wanaosema hawana mambo ya kishirikina wanatudanganya.Nishakutana na pisi kadhaa zina chale na ukiwauliza utasikia hii nilichanjwa enzi nikiwa mtoto sijielewi ila sisi hatuna mambo ya Ushirikina.
Kwa mamlaka yale ubabe unawezekana sana, mbona akiwa waziri hakuwa na ule ubabe. Cheo kilimsaidia.Simama na wewe uwe mbabe hata mtaani kwako uone kama kuna mtu utamtingisha hasahasa tu utapigwa makonzi.....
Kijana hauwezi kuelewa mambo ya ndani sana haya hatuwezi kuyasema 😹Kwa mamlaka yale ubabe unawezekana sana, mbona akiwa waziri hakuwa na ule ubabe.
Huko watu wameshika yote kwa pamoja, dini na yakwao.Wakati nyinyi mnatelekeza dini zenu za asili na kukumbatia za wageni, wenzenu hawakufanya hivyo.
Unakimbilia kujificha kwenye mambo ya ndani bila shaka we ni jeshi la polisi 😂Kijana hauwezi kuelewa mambo ya ndani sana haya hatuwezi kuyasema 😹
Kama ni hizi basi wenyewe wameamua labda za urembo...kuna zile za waganga...
Yapo mengi tu anza na Wamasai wanafanya nini kwenye tamaduni zao?Yapi hayo, unajidanganya
Ni kweli wahenga ancistors wetu walikuwa wapagani,ndio maana kuna haja ya kuyavunja haya maagano tuliyoingizwa hata pasipokujua na bila ridhaa yetu mana damu yetu ina maagano ya mauti.HIVYO IPO NEEMA YA YESU damu ya Yesu imetukomboa bure,ndiyo inayotusafisha,kwa imani tukiamini tumekombokewa kutoka katika kumilikiwa na ufalme wa nguvu za giza na kuhamishiwa na kiingizwa katika ufalme wa mwana wa pendo la Mungu.Babu wa Babu yako Mzaa Babu yake kwa Babu yake Babu yako alikua anaabudu MIZIMU na alipigwa chale mpaka kwenye ulimi mpaka kwenye kichwa cha chini alipigwa chale sasa kizazi chake kimoja wapo ndio Wewe sauti ya kuzimu
Si kwelinarudia!! hii kanda yote ni takataka watu wote wasiostaarabika wanatokea huku.
Qum@ wewenarudia!! hii kanda yote ni takataka watu wote wasiostaarabika wanatokea huku.
Uko kwenu?Ni urembo? Kivipi ni urembo wakati ni ulinzi na kinga?