Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
AmenMungu ibariki CHADEMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMungu ibariki CHADEMA
Kwamba ni Chui na Paka si kweli.Wakina mwa wamegawanyika pande mbili wa Rungwe na wa Kyela Hawa watu ni chui na paka.
Mwa wa kyela Hawa ni wamalawi au wanyasa chakula Chao kikuu ni wali na samaki wakulima wazuri wa mpunga,cacao ni wajuaji,vichwa ngumu, Wana miili midogo sababu ya joto,wanawake wao weupe...
Mada inahusu wanyaki, hao wakutoka Tanga hii mada hauwahusu.Manyaunyau kwao Tanga
Yule mwingine Maji Marefu kwao Tanga
Profesa Singira kwao Tanga
Forojo Ganze aliyeasisi mwenge kwao Tanga
We Kambi ya Fisi tulia, ukianza vurugu tutakupeleka kwa wa Meru ukalambwe mitama tena😄Mada inahusu wanyaki, hao wakutoka Tanga hii mada hauwahusu.
Hayo waliyofanya yana mchango gani kwa Tanzania ya Leo?Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao...
Sijui mantiki ya mada yako ni ipi hasa hapa.Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.
Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya.
Dr. Ulimboka: Daktari aliyeendesha mapambano ya kupigania haki za madaktari na kuboreshewa stahiki zao alitokea Mbeya.
Mwabulambo: aliongoza maandamano chuo kikuu cha mlimani, akamchachafya Nyerere, hadi Nyerere akaamua kupunguza mshahara wake wa shilingi 4,000 bila kodi. Yeye na Baraza lake la Mawaziri.
Hao ni kwa uchache.
NB: Kuna haja ya kukaa chini na kuyarekebisha haya mambo kidiplomasia, hakika inawezekana kwenye meza ya duara. Watu wa Mbeya ni waelewa sana.
Mitume, Wachungaji na Manabii, wengi wanatokea huko. Pia wanamuziki wengi wa nyimbo za dunia na za injili wanatokea huko.
Huko huenda ndio Mlima Sayuni, mlima wa Ukombozi uliko.
Gin Ja Wa
Shincheonji
Hayo waliyofanya yana mchango gani kwa Tanzania ya Leo?
Hayo waliyofanya yana mchango gani kwa Tanzania ya Leo?
Ukinyimwa nafasi unaitafuta mwenyewe. Waliishawahi kufanya hivyo?Wapeni nafasi muone
Imbombo ngafu.Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.
Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya.
Dr. Ulimboka: Daktari aliyeendesha mapambano ya kupigania haki za madaktari na kuboreshewa stahiki zao alitokea Mbeya.
Mwabulambo: aliongoza maandamano chuo kikuu cha mlimani, akamchachafya Nyerere, hadi Nyerere akaamua kupunguza mshahara wake wa shilingi 4,000 bila kodi. Yeye na Baraza lake la Mawaziri.
Hao ni kwa uchache.
NB: Kuna haja ya kukaa chini na kuyarekebisha haya mambo kidiplomasia, hakika inawezekana kwenye meza ya duara. Watu wa Mbeya ni waelewa sana.
Mitume, Wachungaji na Manabii, wengi wanatokea huko. Pia wanamuziki wengi wa nyimbo za dunia na za injili wanatokea huko.
Huko huenda ndio Mlima Sayuni, mlima wa Ukombozi uliko.
Gin Ja Wa
Shincheonji
Loleza na Rungwe iko hapo inatema maji tu.ndo sayuni hukoHuko huenda ndio Mlima Sayuni, mlima wa Ukombozi uliko.
Gin Ja Wa
Shincheonji.
Mwaikambo mzee wa IMBOMBO JILIPO KAZI HAKUNAMwaikambo aliasisi Chadema na Mtei 😀
Basi yaishe 😂tutakupeleka kwa wa Meru ukalambwe mitama tena
Mkuu kama hujui si afadhali ukae kimya?Wakina mwa wamegawanyika pande mbili wa Rungwe na wa Kyela Hawa watu ni chui na paka.
Mwa wa kyela Hawa ni wamalawi au wanyasa chakula Chao kikuu ni wali na samaki wakulima wazuri wa mpunga,cacao ni wajuaji,vichwa ngumu, Wana miili midogo sababu ya joto,wanawake wao weupe.
Hawa kina Mwa wa Tukuyu Hawa ni wasomi, waungwana,Wana miili mikubwa weusi sababu ya baridi,wameshiba sababu ya vyakula vingi wakarimu dhehebu lako kuu ni Moravian,waimbaji wa injili, wachungaji wengi wanatoka huku,kinamama ndio wachapa kazi walea familia wasomi wote ni juhudi za mama zao kuchakarika.
Chakula chao kikuu ni ndizi,viazi chips, kitimoto.
Ni wakarimu watulivu hawana makuu, ukoo mzima wanakusindikiza stand unapungiwa mkono hadi basi litakapotea machoni mwao.
Maharage ya Mbeya maji Mara moja, kina niangusage sambi zako.
Lafudhi Yao mcheki senga Cha pombe rafiki yake pembe.
Wana ego sana na ni watu hatari wasiofaa kuwa viongoziHawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.
Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya.
Dr. Ulimboka: Daktari aliyeendesha mapambano ya kupigania haki za madaktari na kuboreshewa stahiki zao alitokea Mbeya.
Mwabulambo: aliongoza maandamano chuo kikuu cha mlimani, akamchachafya Nyerere, hadi Nyerere akaamua kupunguza mshahara wake wa shilingi 4,000 bila kodi. Yeye na Baraza lake la Mawaziri.
Hao ni kwa uchache.
NB: Kuna haja ya kukaa chini na kuyarekebisha haya mambo kidiplomasia, hakika inawezekana kwenye meza ya duara. Watu wa Mbeya ni waelewa sana.
Mitume, Wachungaji na Manabii, wengi wanatokea huko. Pia wanamuziki wengi wa nyimbo za dunia na za injili wanatokea huko.
Huko huenda ndio Mlima Sayuni, mlima wa Ukombozi uliko.
Gin Ja Wa
Shincheonji
Uko sahihi nakumbuka kaburu alienunua kiwanda cha sukari ilovo alipata tabu sana na hawa watu, ndio walikuwa waratibu wa kuongoza migomo ya kupinga maslahi madogo waliyokuwa wakilipwa na yule kaburu.Hawa Jamaa nawakubari kitu kimoja Ni wamoja saaana, Pia Wacha Mungu, Jeshini huwa wanajiamini saaana,, Mfano Mwakibolwa mwaseba, Brigedia Mwakipunda, Meja Mwaipopo, Mwamunyange, Meja General mwaisaka, Wanajiamini saaana pia hawaogopi kupoteza.. Ila Wapo Pia Baadhi waoga waoga ingawa Si Wengi.