Landrover 109
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 384
- 597
Kwa hiO dada yule yawezekana akawa mzambia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makabila ya mafalaUko sahihi nakumbuka kaburu alienunua kiwanda cha sukari ilovo alipata tabu sana na hawa watu, ndio walikuwa waratibu wa kuongoza migomo ya kupinga maslahi madogo waliyokuwa wakilipwa na yule kaburu.
Wakati makabila mengine walikuwa wamekubali matokeo hao jamaa waligoma katakata.
MndaliKwa hiO dada yule yawezekana akawa mzambia?
Mchawi yuleNa Tulia Ackson ni mtu wa mbeya lakini.... Ana roho mbaya Kama alivyo asee.
TujuzeMkuu kama hujui si afadhali ukae kimya?
Injili ya Ukristo Bara ilianzia Ardhi ya Unyakyusa kupitia Makanisa ya Moravian na KKKT.Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.
Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya.
Dr. Ulimboka: Daktari aliyeendesha mapambano ya kupigania haki za madaktari na kuboreshewa stahiki zao alitokea Mbeya.
Mwabulambo: aliongoza maandamano chuo kikuu cha mlimani, akamchachafya Nyerere, hadi Nyerere akaamua kupunguza mshahara wake wa shilingi 4,000 bila kodi. Yeye na Baraza lake la Mawaziri.
Hao ni kwa uchache.
NB: Kuna haja ya kukaa chini na kuyarekebisha haya mambo kidiplomasia, hakika inawezekana kwenye meza ya duara. Watu wa Mbeya ni waelewa sana.
Mitume, Wachungaji na Manabii, wengi wanatokea huko. Pia wanamuziki wengi wa nyimbo za dunia na za injili wanatokea huko.
Huko huenda ndio Mlima Sayuni, mlima wa Ukombozi uliko.
Gin Ja Wa
Shincheonji
Mr II a.k.a SuguHawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.
Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya.
Dr. Ulimboka: Daktari aliyeendesha mapambano ya kupigania haki za madaktari na kuboreshewa stahiki zao alitokea Mbeya.
Mwabulambo: aliongoza maandamano chuo kikuu cha mlimani, akamchachafya Nyerere, hadi Nyerere akaamua kupunguza mshahara wake wa shilingi 4,000 bila kodi. Yeye na Baraza lake la Mawaziri.
Hao ni kwa uchache.
NB: Kuna haja ya kukaa chini na kuyarekebisha haya mambo kidiplomasia, hakika inawezekana kwenye meza ya duara. Watu wa Mbeya ni waelewa sana.
Mitume, Wachungaji na Manabii, wengi wanatokea huko. Pia wanamuziki wengi wa nyimbo za dunia na za injili wanatokea huko.
Huko huenda ndio Mlima Sayuni, mlima wa Ukombozi uliko.
Gin Ja Wa
Shincheonji
Namshangaa Tulia tabia za uchawa kwa Samia kazitoa wapi?Au ni Mchewa wa Malawi,Mzee Mwansau alichezewa kekundu!Watu wa Mbeya hawana hulka ya kuwa vibaraka. Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ubunge wa Mbeya alishinda Mnyakyusa kwa tiketi ya Nccr, Kilimanjaro hawakupata Mbunge
Huyu hapa![emoji1787]Ni kama inapendeza na kushangaza kwa wakati mmoja, pale ambapo ndani ya mkoa mmoja, wa Mbeya, anakuwepo jasiri muongoza njia, asiyeogopa vitisho vya watawala, asiye na unafiki, aliye tayari kuweka rehani vyeti vyake, hata aipoteze ajira yake, anayesimamia kweli muda wote, akiamini kweli hiyo ndio itamuweka huru, hata kama kwa sasa yupo mikononi mwa askari wa msaliti, lakini naamini ndani ya nafsi yake, yuko huru zaidi ya yule .....
Mnafiki mwingine, anayetokea Mbeya hapo hapo, aliyeamua kujitoa akili makusudi, akakumbatia unafiki, ili kumfurahisha bosi wake msaliti, asiyeona aibu kusema uongo mbele za watu, anayeona sifa kujipendekeza, anayefurahia maisha ya anasa bila kujali wengine, ambaye naamini kabisa, ndani ya nafsi yake anaishi kwa aibu kuu, kwasababu anajua vizuri sana watanganyika sio wajinga, hawadanganyi wao, bali anajidanganya mwenyewe.
[emoji1787]Utapiamlo umemponza, amekosa sifa
Kwani Wanyakyusa ndiyo wanapanga mji au serikali?Nitajie nchi hii Jiji lisilo na Uswazi?Mbeya nyumba bora zipo Uzunguni,Block T,Block Q,Ituha,Sai,Forest,Veta nk, maeneo ya Uswazi ni Mabatini,Ilemi,Isanga,Simike,Nzovwe,Mama John nk.Sasa wewe ulitembelea wapi ndani ya MINING TOWN (MBeya)?Kama watu wa Mbeya ni makini basi Mbeya ndo ingeongoza Tanzania na kujengwa vizuri na kuwa na nyumba bora.
Huo umakini mnaupimaje wakati watu hawajui hata kujenga vizuri na kwa mpangilio?
Niambie Wasukuma wa Shinyanga watu makini nitakuelewa maana nipo shinyanga mjini sasa ni mkoa umejengwa vizuri na kwa mpangilio kuliko hapo Mbeya.
Mambo ya ukabila au ukanda peleka nyumbani kwako mkatambikeHawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao.