Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

Kwamba ni Chui na Paka si kweli.

Ukweli ni kwamba kitabia wana tofautiana sana na ukikutana nao you can easily tell who is from where, and why is who.

Lakini si maadui
 
Hawa Jamaa nawakubari kitu kimoja Ni wamoja saaana, Pia Wacha Mungu, Jeshini huwa wanajiamini saaana,, Mfano Mwakibolwa mwaseba, Brigedia Mwakipunda, Meja Mwaipopo, Mwamunyange, Meja General mwaisaka, Wanajiamini saaana pia hawaogopi kupoteza.. Ila Wapo Pia Baadhi waoga waoga ingawa Si Wengi.
 
Sijui mantiki ya mada yako ni ipi hasa hapa.

Unatafuta ukabila au nini?
Kama ni kuweka waTanzania kwenye mafungu ili wavurugwe zaidi, kazi hiyo tayari inafanyika vizuri zaidi na hao wanaoturudisha kwa waarabu.
Huoni kwamba unawasaidia kazi yao ifane zaidi?

Nndiko zima halina uzito wowote, licha ya kutaja watu ambao sote tunawaombea waendelee kuwa mstari wa mbele kupigania haki za waTanzania.

Kazi yako hapa ni ya kishetani hasa.
Sijui inakuwaje, maanake huko kwingine ulisimama vizuri.
 
Na Tulia Ackson ni mtu wa mbeya lakini.... Ana roho mbaya Kama alivyo asee.
 
Imbombo ngafu.
 
Mkuu kama hujui si afadhali ukae kimya?
 
Wana ego sana na ni watu hatari wasiofaa kuwa viongozi
 
Uko sahihi nakumbuka kaburu alienunua kiwanda cha sukari ilovo alipata tabu sana na hawa watu, ndio walikuwa waratibu wa kuongoza migomo ya kupinga maslahi madogo waliyokuwa wakilipwa na yule kaburu.

Wakati makabila mengine walikuwa wamekubali matokeo hao jamaa waligoma katakata.
 
Kama watu wa Mbeya ni makini basi Mbeya ndo ingeongoza Tanzania na kujengwa vizuri na kuwa na nyumba bora.

Huo umakini mnaupimaje wakati watu hawajui hata kujenga vizuri na kwa mpangilio?

Niambie Wasukuma wa Shinyanga watu makini nitakuelewa maana nipo shinyanga mjini sasa ni mkoa umejengwa vizuri na kwa mpangilio kuliko hapo Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…