Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

Makabila ya mafala
 
Injili ya Ukristo Bara ilianzia Ardhi ya Unyakyusa kupitia Makanisa ya Moravian na KKKT.
 
Mr II a.k.a Sugu
 
Watu wa Mbeya hawana hulka ya kuwa vibaraka. Uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ubunge wa Mbeya alishinda Mnyakyusa kwa tiketi ya Nccr, Kilimanjaro hawakupata Mbunge
Namshangaa Tulia tabia za uchawa kwa Samia kazitoa wapi?Au ni Mchewa wa Malawi,Mzee Mwansau alichezewa kekundu!
 
Huyu hapa![emoji1787]
 
Kwani Wanyakyusa ndiyo wanapanga mji au serikali?Nitajie nchi hii Jiji lisilo na Uswazi?Mbeya nyumba bora zipo Uzunguni,Block T,Block Q,Ituha,Sai,Forest,Veta nk, maeneo ya Uswazi ni Mabatini,Ilemi,Isanga,Simike,Nzovwe,Mama John nk.Sasa wewe ulitembelea wapi ndani ya MINING TOWN (MBeya)?
Punguza ujuaji!
 
Mambo ya ukabila au ukanda peleka nyumbani kwako mkatambike
 
Tulia jina lake la ukoo sijui ni nani maana hilo Mwansasu la mme wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…