Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Kuna mwamba mmoja alikuwa mtoto wa polisi wanakaa line polisi huku magereza dahh alikuwa mbabe sana, nadhani aliitwa Six, sijui yuko wap siku hizi???
hahaha😂 nilimjua huyu mwamba, nasikia yupo Morogoro ni mjeda,kulikuwa na scandal ya dingi yake wenzie walienda patrol wakamkuta waifu wake yupo lodge na msela
 
Kuna mzee alikuwa anaitwa Makumpira alikuwa ana duka soko kuu. Musoma nzima ndio aliaminika kwa kuuza viungo vya chakula, alikuwa hapendi kuulizwa bei au kupewa ela kwa mkono wa kushoto.
Mzee alikuwa mkoloni huyu akikufuma/kukukamana na binti yake ata kama mlikuwa mmekaa mnapiga story tu wawili anawafungisha ndoa hapo hapo ataki mchezo
 
kanipa sana pipi yule mzee pale dukani kwake
 
Daah..umenikumbusha mbali sana mkuu hao mapacha wa jamaica waliponea chupuchupu sana saiz wanaendesha boda boda
 
Hahaha Musoma enzi hizo umitashumta kuna wachezaji wakali,kanda ya nyasho,nyamatare,nyakato ilikua inatoa wachezaji wamekomaa sana kama akina lubengo, ukija zone ya musoma primary,azimio,mwembeni na mkendo walikua mabishoo akina nyagiro,waziri mkumbo..ilikua balaaa enzi hizo,
Katika shule za primary kuna mwalimu mkuu alikuwa anawika pale kamnyonge wakuitwa Matete...ukija mabishoo enzi hizo kuna dogo alikua anaitwa abdul mahita alikua anakaa kwa RPC alikua mlezi mzee wa mademu
 
Ukija zone ya mjini kuja jamaa alikua anaitwa maiti alikua anabaka watu akikikumata anakuambia chagua Bega [emoji1], enzi hizo hotel kali zilikua mojawapo afrilux,stigma [emoji1]
 
Iringo ulikuwa unakaa mitaa ipi?
 
Daah..umenikumbusha mbali sana mkuu hao mapacha wa jamaica waliponea chupuchupu sana saiz wanaendesha boda boda
Aiseee hawa jamaa ilikua hatari ilikua town ukienda unadakwa na jamaica unapokonywa vitu,ukija majita road akina majani,mtoto Iddy,enzi hizo ukienda complex muda wa kutoka wale watembea kwa miguu mnatekwa mnavuliwa viatu [emoji1] [emoji1787]
 
Mwembeni, azimio, mkendo iringo enzi za likizo kulikuwa na pisi kali za kufa mtu
 
Aiseee hawa jamaa ilikua hatari ilikua town ukienda unadakwa na jamaica unapokonywa vitu,ukija majita road akina majani,mtoto Iddy,enzi hizo ukienda complex muda wa kutoka wale watembea kwa miguu mnatekwa mnavuliwa viatu [emoji1] [emoji1787]
Daaah..mimi ilifika kipindi nilikuwa most wanted nikawa hata maklub siendi maana nilikuwa bishoo hatari na kama unavyojua hao jamaa wanavyochukia mabishoo
 
Mkuu umeongea jambo la maana sana!

Pale ndipo wengi tumejifunza Basketball, Vollball na michezo mingi tu achilia mbali maktaba pale.

Hii ndio wengine imetupandisha ndege kwa mara ya kwanza na kutupa maisha tuliyonayo leo!

Musoma!....Dah
Dioceses ilikua sehemu nzuri sana kulikua na team za mpira,music,kulikua na league mshindi anapewa box la sabuni na crate la soda enzi hizo wachezaji wazuri ilikua Rujama kutoka nyasho,shilla kamnyonge,cosmas,phinias...aisee
 
Daaah..mimi ilifika kipindi nilikuwa most wanted nikawa hata maklub siendi maana nilikuwa bishoo hatari na kama unavyojua hao jamaa wanavyochukia mabishoo
[emoji1787][emoji1787]hawa jamaa walikua wanafanya dolia ya mabishoo sasa enzi hizo mabishoo walikua wachache walikua wadogo zangu,bishoo lazima ilikua uwe wa kishua
David kisamba,juma kigera,magoma,cabin alikuwepo lusato a.k.a doctor sema walikua wanaazimana nguo sana...kulikua na walw madogo said heris
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…