Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Wengi mmekimbia musoma wengine wameuwawa kama huyo mgasa na maromaro
 
Hotel nzuri kuliko zote ilikua mativila hotel pale karibu na mskiti mdogo..

Kwakweli musoma iko nyuma Sana
 
Go East go West home is the best bado napapenda japo kiukweli Musoma life lake kama jeshini
Bodaboda zimesaidia kupunguza uhalifu enzi za makundi kama Jamaica mockers wat walikua wanavunjiwa maduka, wanakatwa mapanga vjana wa huko walikua na usela wa kipuuzi sana
 
Bodaboda zimesaidia kupunguza uhalifu enzi za makundi kama Jamaica mockers wat walikua wanavunjiwa maduka, wanakatwa mapanga vjana wa huko walikua na usela wa kipuuzi sana
Kwa jinsi hali ilivyo kuwa kipindi kile angetokea mtu mwenye mawazo ya kuanzisha vikundi vya wapiganaji kama ilivyo DR CONGO Basi Musoma ingekua ni sehemu mbaya kabisa ktk taifa hili
 
Umesahau Jamaika mockers hawa ulikua unapata nyasho kiongozi wao Maduchu cjui saiv yupo wapi walikua wakikutana mbio za vijiti na jamaika basi hapo lazima mtu afe ama apate ukilema

me nilkua naishi iringo kutokana na maisha ya kule kuwa ya fujo sana tulihamia mkinyereo kwa wastarabu na hapo na mimi kidogo nikaanza ku behave kama binadamu wa kawaida kutokana na life la pale.Kwa kweli nimepitia mengi sana huko Musoma
 
Maromaro alikufa kwa kupigwa visu
 
Palm Beach kuna nyama pendwa iliyokwenda shule
 
Nimemkumbuka dr. mmoja wa meno nadhani alikuwa anaitwa Nsabayo Ng'endo Au Dr. ng'endo dispensary yake ndiyo inaitwa Nsabayo. Aliniziba jino sikulala siku mbili kwa maumivu. Kipindi hicho Guest/lodge ya maana musoma ilikuwa Mama Esta
 
Vimto nimezinywa mkuu zamani sana nikiwa mdogo crate zake za mbao na hicho kiwanda kipo opposite na Mutex now ni godown, huyo Panju naye stori zake nimezisikia japo sijawahi muona
Panju alishafariki zamani kidogo ndio chanzo cha kiwanda cha vimto na magodoro kufa.
 
Nimemkumbuka dr. mmoja wa meno nadhani alikuwa anaitwa Nsabayo Ng'endo Au Dr. ng'endo dispensary yake ndiyo inaitwa Nsabayo. Aliniziba jino sikulala siku mbili kwa maumivu. Kipindi hicho Guest/lodge ya maana musoma ilikuwa Mama Esta
Mama Esta daaah umenikumbusha mbali sijui bado ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…