Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

Musoma aisee,eti mamas alifariki?
Sio kwamba alihama pale kwake? Kama alikufa nan anasimamia ile bas alafu na mwanza napo niliona hotel inaitwa mamas ila siba uwakika kama ni yake.
Kuna miaka flan pal kwake kulikuwa kuna kidem kinasoma mshikamano sekondari kinaitwa Minza nilikuwa naelewa sana kale kaumbk kake sema kilikiwa chakula cha wauani sana
 
Kuna mzee alikuwa anaitwa Makumpira alikuwa ana duka soko kuu. Musoma nzima ndio aliaminika kwa kuuza viungo vya chakula, alikuwa hapendi kuulizwa bei au kupewa ela kwa mkono wa kushoto.
Mzee alikuwa mkoloni huyu akikufuma/kukukamana na binti yake ata kama mlikuwa mmekaa mnapiga story tu wawili anawafungisha ndoa hapo hapo ataki mchezo
hivi si bado ana duka pale sokoni?
 
Aisee hapo niliwahi gombana nje

Kisa kilikuwa nimeenda na mamanzi wawili halaf machalii wawili wanata eti wateke wee thubutuu ndio nilikuwa nimeiva kwenye Tae kwon do niliwaoshea kinoma aisee maboda wote walio kuwa pale waliniona kama vandame, mmoja nilimuacha amezimia na Mwingine alipanda piki piki akakimbia kinoma na nakamfata na piki piki langu huku maboda nyuma kama 25 wanafuatilia tukio kama sinema ya kihindi vile ni bahati sikumshika nikarudi nikachukua mamanzi wangu nikarudi tena ndani hiyo space 2000 hatari sana aisee,

Na wakati fulani Jamaica wananiwinda kinoma aisee...
2000 vijana na bodaboda Musoma??? Hii chai ya chumvi
 
Back
Top Bottom