Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Mkuu melini kwenye Sea Link si kuna restaurantHatimae nimetoboa Dar.
Safari ilikua ngumu kidogo, Jana usiku sikula, uzembe mkubwa sana nilifanya baadae ya black and white kunikolea pale Messi.
Nimefika Unguja njaa inauma hadi kijasho kinatoka. Nilivyoshuka tu nikakata ticket ya Kilimanjaro fasta then nikadaka bodaboda mpaka kwenye Ile Bar pale CCM, nikagonga chips na mishkaji mixer sprite na maji ndio nguvu ikarudi.
Zanzibar ni Mji ghali sana hasa hii Ramadhani
fursa za kiuchumi pemba?...huna akili.Maiafrika kuwaza ngono tu , sijaona fursa za kiuchumi wala ishu ya maana hapo
USSR
Hapo mwanzo palikua na neno,naye neno alikua kwa Mungu,naye neno ni MunguMungu pamoja nasi amanake nini yani hata hilo jina tu halikufanyi uelewe Yesu alikua ni nani?
Acha kukaza fuvu,soma injili ndio utaelewa kuwa hakuna kufika mbinguni bila kupitia imani ya kikristo.
Siku nyingi nilikutanabahishia kwamba fuvu lako limejaa togwaMayahudi wameingia vipi kwenye uislamu,wakati ndio maadui wa kwanza wa uslamu achilia mbali ukristo,kimsingi uslma ni dini yq mchongo,iliyoungwaungwa kwa kuiba historia na mitume na manabii wakiyahudi.
Pitia uislam unaagiza na kukataza nini katika mavazi,vyakula,Ibada nk...badala ya kunipa kazi ya kukuandikia bila sababu za msingiVitu ulivyovitaja ni sehemu ndogo sana katika utamaduni ingawaje vipo katika utamaduni.Usijali, naomba unipe utofauti ufuatao:
1) Naomba unipe utofauti wa aina mbalimbali za ndoa zilizokuwa zinafanyika katika utamaduni wa kiarabu na ndoa za Kiislamu.
2) Naomba unipe utofauti wa mavazi ya utamaduni wa Kiarabu na dini ya Kiislamu.
3) Naomba unipe utofauti wa lugha ya Kiarabu ambao hupatikana katika utamaduni wa Kiarabu na lugha iliyotumika katika kitabu chenu kitakatifu.
4) Naomba unipe utofauti wa vyakula vinavyopatikana katika utamaduni wa Kiarabu na vyakula vinavyopatikana katika dini ya Kiislamu.
Samahani kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!
Ukute una watoto na huwachapa wakifeli darasani..kumbe umbumbumbu wameruthi kwakoSasa hao mitume katika usilamu walitokea wapi?hii dini ya mchongo sana asee,kumbe mudi ndio alikuwa wa kwanza kuhubiri habari hizo,
mzee wa accidental @n@l p00p
Marashi ya pembaaaaaaEbhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida[emoji2]
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Hahaa mambo ya scat anal sio 💩mzee wa accidental @n@l p00p
Hiiii mkuu what the hell 😳!Wanalika vizuri sana na akikupenda basi hata msichana mwenzake wa karibu awe mdogo wake au rafiki yake atatamani na yeye umle ili wakiwa wenyewe wawe wanapiga story zako kwa kuwa wote wanakufahamu na wakati mwengine watapeana majukumu wakufanyia kutu gani.
Huwa nina waoneeni huruma sana nyie mnaoupinga huu Muungano na kudai bora tungeungana na Rwanda.
Kuna watu bado hamjala matunda ya Muungano hivyo huwa mnajiongelea tu bila kujua.
Huu Muungano kwa kweli kama mtu yupo zake huko Bonyokwa anaweza akauponda sana, sababu hawajui yaliyomo.Hiiii mkuu what the hell 😳!
Basi itabidi uwe balozi wa kudumu wa kutetea muungano.