Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Hatimae nimetoboa Dar.
Safari ilikua ngumu kidogo, Jana usiku sikula, uzembe mkubwa sana nilifanya baadae ya black and white kunikolea pale Messi.
Nimefika Unguja njaa inauma hadi kijasho kinatoka. Nilivyoshuka tu nikakata ticket ya Kilimanjaro fasta then nikadaka bodaboda mpaka kwenye Ile Bar pale CCM, nikagonga chips na mishkaji mixer sprite na maji ndio nguvu ikarudi.
Zanzibar ni Mji ghali sana hasa hii Ramadhani
Mkuu melini kwenye Sea Link si kuna restaurant
 
Mungu pamoja nasi amanake nini yani hata hilo jina tu halikufanyi uelewe Yesu alikua ni nani?

Acha kukaza fuvu,soma injili ndio utaelewa kuwa hakuna kufika mbinguni bila kupitia imani ya kikristo.
Hapo mwanzo palikua na neno,naye neno alikua kwa Mungu,naye neno ni Mungu
 
Mayahudi wameingia vipi kwenye uislamu,wakati ndio maadui wa kwanza wa uslamu achilia mbali ukristo,kimsingi uslma ni dini yq mchongo,iliyoungwaungwa kwa kuiba historia na mitume na manabii wakiyahudi.
Siku nyingi nilikutanabahishia kwamba fuvu lako limejaa togwa
 
Vitu ulivyovitaja ni sehemu ndogo sana katika utamaduni ingawaje vipo katika utamaduni.Usijali, naomba unipe utofauti ufuatao:

1) Naomba unipe utofauti wa aina mbalimbali za ndoa zilizokuwa zinafanyika katika utamaduni wa kiarabu na ndoa za Kiislamu.

2) Naomba unipe utofauti wa mavazi ya utamaduni wa Kiarabu na dini ya Kiislamu.

3) Naomba unipe utofauti wa lugha ya Kiarabu ambao hupatikana katika utamaduni wa Kiarabu na lugha iliyotumika katika kitabu chenu kitakatifu.

4) Naomba unipe utofauti wa vyakula vinavyopatikana katika utamaduni wa Kiarabu na vyakula vinavyopatikana katika dini ya Kiislamu.

Samahani kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!
Pitia uislam unaagiza na kukataza nini katika mavazi,vyakula,Ibada nk...badala ya kunipa kazi ya kukuandikia bila sababu za msingi
 
Sasa hao mitume katika usilamu walitokea wapi?hii dini ya mchongo sana asee,kumbe mudi ndio alikuwa wa kwanza kuhubiri habari hizo,
Ukute una watoto na huwachapa wakifeli darasani..kumbe umbumbumbu wameruthi kwako
 
Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi

3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida[emoji2]
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu

13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)

14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen


♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Marashi ya pembaaaaaa
 
Wavivu hao majamaa halafu wabaguzi.
 
Wanalika vizuri sana na akikupenda basi hata msichana mwenzake wa karibu awe mdogo wake au rafiki yake atatamani na yeye umle ili wakiwa wenyewe wawe wanapiga story zako kwa kuwa wote wanakufahamu na wakati mwengine watapeana majukumu wakufanyia kutu gani.

Huwa nina waoneeni huruma sana nyie mnaoupinga huu Muungano na kudai bora tungeungana na Rwanda.
Kuna watu bado hamjala matunda ya Muungano hivyo huwa mnajiongelea tu bila kujua.
Hiiii mkuu what the hell 😳!

Basi itabidi uwe balozi wa kudumu wa kutetea muungano.
 
Uzi wenyewe ni huu 👇👇


💣NYONGEZA
1. Wapemba wachafu sana , mpemba anaweza akawa anaishi nyumba imezungukwa na majani marefu na maji machafu na wala asiwaze

2. Wapemba ni wavivu sana sana,, hawa miamba ni wavivu sana yaani namaanisha kweli.

3. Pemba ugonjwa wa pumu na kifua upo sana. Madogo asilimia kadhaa wanaumwa pumu na inaonekana kawaida.

4. Wapemba swala la kutupiana majini wanapenda kinoma sasa sijui wanayafuga.

5. Wapemba wabaguzi kuliko waunguja.

6. Wapemba asilimia kubwa wanajibinafsisha uislamu kama wao. Yaan muislamu kutoka bara unaonekana mchimba chumvi tu.

7. Ukitaka kuoa pemba jichunguze vzr usije oa toto linaanguka majini maana wao wanaona kawaida tu.

NILIKAA PEMBA CHAKE CHAKE NIKAKAA PIA KONDE MWISHO NIKAMALIZIA WETE, ITOSHE KUSEMA WAPEMBA BAADHI AMBAO WAMETEMBEA NA WANA EXPOSURE YA BAADHI YA MAMBO NI WATU POA SANA.

AFU KUNA HAWA KAULI YA UKAFIRI HAIISHI KATIKA VINYWA VYAO, WANAONA KAMA WAMESHAPATA PEPO.

BTW me ni muslim tena ahlul sunnah wal jamaa (salafia).
BARDIZBAH
 
Kazi sana.
Nimefika mara 3 zanzibar ila sijawah kupapenda (unguja) .
SAsa sijui huko pemba kama ndio ningepaweza.

Ila jamaa wana ukarim sana(unguja) maana nakumbuka nilifika huko siku mbaya sana.Ilikua siku moja kabla ya maadhimisho ya Revolition day.Kila lodge imejaa..Bas kuna mwamba huyo alinihangaikia kutafuta nyumba ya wageni mpaka akapata ..tulizurura sanaaaa nakumbuka ila cha ajabu nilipotaka kumlipa pesa ya usumbufu wa kughair mambo yake anisaidie mimi kupata lodge , jamaa akakataa kata kata yan ile kwa kumaanisha..hakutaka sent ..kimoyo moyo nikaogopa nikasema huyu bwana anataka nini sasa!???


Ahahahahaha.. sikupenda kwakweli
 
Back
Top Bottom