Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Ni Mungu wa Wakristo, anaitwa Mungu Baba.
John 1:1-3,sishangai huiamini yesu Mungu kwa kuwa Imani yenyewe iko hivyo,mmegawantika,yesu ni Mungu aliyevaa utu akaja duniani kuwakomboa binadamu,hapohapo yesu ni mwana wa Mungu wa pekee aliyekuja kukomboa binaadam,hapohapo yesu ni mtume wa Mungu kwa wayahudi
 
Mungu wa wayahudi babu
Matendo ya Mitume 2:32,36
[32]Yesu huyo Mungu(YHWH) alimfufua, na sisi sote tu mashahidi wake.
This Jesus hath God raised up, whereof we all are witnesses.
[36]Basi nyumba yote ya Israeli na wajue yakini ya kwamba Mungu(YHWH) amemfanya Yesu huyo mliyemsulibisha kuwa Bwana na Kristo.
Therefore let all the house of Israel know assuredly, that God hath made that same Jesus, whom ye have crucified, both Lord and Christ.
 
Mungu wa wayahudi babu

Mungu wa wayahudi babu
Mungu wa wayahudi babu
Waebrania 1:1-4
[1]Mungu(YHWH), ambaye alisema zamani na baba zetu(WAYAHUDI/WAEBRANIA) katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,
God, who at sundry times and in divers manners spake in time past unto the fathers by the prophets,
[2]mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana(YESU), aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.
Hath in these last days spoken unto us by his Son, whom he hath appointed heir of all things, by whom also he made the worlds;
[3]Yeye kwa kuwa ni mng’ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;
Who being the brightness of his glory, and the express image of his person, and upholding all things by the word of his power, when he had by himself purged our sins, sat down on the right hand of the Majesty on high;
[4]amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.
Being made so much better than the angels, as he hath by inheritance obtained a more excellent name than they.
 
Ila wakija bara wanajiona bab kubwa sana wanajiona ni watu fulani wenye uwezo sana na waliostaarabika.
 
Huwa nazihusudu sana pisi za kipemba. Sema kuzipata hasa kwa sisi wagalatia ndio mtihani. Shemeji zangu wa pemba kunjueni nafsi bana nifuate jiko!
 
Niko kwenye Azam Sea link narudi zangu Unguja then Dar Leo.

Messi imeniokoa sana muda wa wiki Moja niliokaa Pemba. Sikupata shida ya kula kabisa Ramadhani hii ingawa hela imetoka sana kwenye kula na kugonga vyombo.

Messi Ina mademu wengi sana ila tatizo hata ukitongoza huwezi kumpeleka hotelini kwako maana hawatakuruhusu.
Mademu wanataka uende nyumbani kwao which is very risk.

Kwenye meli Kuna ustaarabu mbaya sana. Mnakata ticketi ya Economy au Executive seat lakini ukiingia unakuta mijitu imelala kwenye viti vyote
Hatimae nimetoboa Dar.
Safari ilikua ngumu kidogo, Jana usiku sikula, uzembe mkubwa sana nilifanya baadae ya black and white kunikolea pale Messi.
Nimefika Unguja njaa inauma hadi kijasho kinatoka. Nilivyoshuka tu nikakata ticket ya Kilimanjaro fasta then nikadaka bodaboda mpaka kwenye Ile Bar pale CCM, nikagonga chips na mishkaji mixer sprite na maji ndio nguvu ikarudi.
Zanzibar ni Mji ghali sana hasa hii Ramadhani
 
Hakuna risk yoyote mkuu kwa kule,ndio maana bei anayokupa ni pamoja na gheto kabisa!!sema tatizo ni muda wanaofunga bar yataka uvumilivu kweli,na bei za vinywaji pale ni kubwa balaa!!kwani kwa pemba hata guest house ni chache sana!!na hata ukiipata kuingiza demu bado ni ngumu!!kule ni hatari
 
Kwa sisi wanywaji ni risk sana mkuu.
 
Huko visiwani madada poa wapo wengi tu hujui kuongea na watu vizuri ww. Nilifika pemba kipindi cha mfungo aloo nilipata tabu bahati nzuri nilikaa kama wiki mbili tu nikaenda unguja kidogo nikaona utofauti na ukitaka kuenjoy visiwani ww uwe na gari madem utawala maana huruhusiwi kuingiza malaya gesti na hoteli bei zimechangamka sio mchezo.

Visiwani jitahidi uwe na mtu ambae anaweza kukupangisha chumba ukamlipa kwa muda utakao kaa na uwe na ka usafiri hapo utaona kawaida sana maisha ya visiwani
Kwa unguja sawa lakini pemba ni habari nyingine!!hao vijana wenyewe wa kipemba wanalia kupata ....hadi wenye uwezo ina bidi wa import kutoka TANGA!!kwanza kukuta mtoto wa kike yupo na watoto wa kiume ni ngumu.
 
😂😂 Ngumu kwako na kwao
 
Kwa sisi wanywaji ni risk sana mkuu.
Kwa wanawake wa kule asilimia kubwa lazima tu akupeleke kwake kwani guest kule ni sawa tu na hakuna!!mi nimekaa kule miezi 2,na ndio mazingira halisi hayo kama una taka MBUSUSU!!japo wale wajeda huwa wana mind sana ukiwaingila kwenye anga zao kwani huwa ndio sehemu yao ya kujipozwa,na asilimia kubwa ya wadada wa pale mess wanatokea mikoa ya KASKAZINI
 
Nilikutana na counter kwao Tabora
 
Maiafrika kuwaza ngono tu , sijaona fursa za kiuchumi wala ishu ya maana hapo

USSR
Ishi we nae vp si kaongelea samaki hapo kwamba kule ni bei zaidi ya singida... kachukue samaki singida peleka pemba...
 
Utamaduni unaundwa na chakula,mavazi,Ibada,ndoa....mtume alipoanza kuhubiri uislam waarabu waliona ni kitu kipya tofauti na utamaduni wao, uislam unajitosheleza kuwa Mila/utamaduni kwa kuwa una muongozo kwenye vipengele vyote vya maisha,unauliza dini ya Mungu,mungu yupi!?..maksai wangu naowatumia kulima ni mungu wa wahindi,Isa mwana wa Maryam ni mungu wa wakiristo,babu zangu wa kale wakiabudu mizimu na mibuyu mikubwa,palikua na waabudu moto,jua ,nyota
Vitu ulivyovitaja ni sehemu ndogo sana katika utamaduni ingawaje vipo katika utamaduni.Usijali, naomba unipe utofauti ufuatao:

1) Naomba unipe utofauti wa aina mbalimbali za ndoa zilizokuwa zinafanyika katika utamaduni wa kiarabu na ndoa za Kiislamu.

2) Naomba unipe utofauti wa mavazi ya utamaduni wa Kiarabu na dini ya Kiislamu.

3) Naomba unipe utofauti wa lugha ya Kiarabu ambao hupatikana katika utamaduni wa Kiarabu na lugha iliyotumika katika kitabu chenu kitakatifu.

4) Naomba unipe utofauti wa vyakula vinavyopatikana katika utamaduni wa Kiarabu na vyakula vinavyopatikana katika dini ya Kiislamu.

Samahani kwa usumbufu!!!!!!!!!!!!
 
Wanalika vizuri sana na akikupenda basi hata msichana mwenzake wa karibu awe mdogo wake au rafiki yake atatamani na yeye umle ili wakiwa wenyewe wawe wanapiga story zako kwa kuwa wote wanakufahamu na wakati mwengine watapeana majukumu wakufanyia kutu gani.

Huwa nina waoneeni huruma sana nyie mnaoupinga huu Muungano na kudai bora tungeungana na Rwanda.
Kuna watu bado hamjala matunda ya Muungano hivyo huwa mnajiongelea tu bila kujua.
Fafanua hii ndugu
 
kwani tunapowzungumza wapemba wa Ilala na Magomeni kwani wale woote ni wapemba? wengine ni waunguja ila tumeku tuki generelize tu. Na kuhusu wanaymwezi ndio hivyo hivyo, Kwa zaidi ya miaka 100 wanaymwezi wamekua wakiingiliana sana na Zanzibar kijamii. wengi wao ndio wamekua vibarua maeneo mabli mbali toka enzi za okoloni.

Wanyamwezi wamakonde wamanyema ndio haohao wapemba waleo,ukichanganya na hao waarabu koko.
 
Back
Top Bottom