Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Naam,kiukweli huko life ni ngumu saana Sanaa.
Wanawake hawana kazi ila wanapenda pesa balaa na ndo maana pemba na unguja wanawake % kubwa wanalawitiwa, so inambidi wanaume kwa namna yoyote aitafte pesa na zaidi ni kufuga majini ya pesa.
Flat screen kama kawa kwa wadada.
Wakienda mjini unguja kwenye meli ni kubebana na mafurushi ya mihogo,marimba,ndizi na kuku.
Kiukweli pemba maisha ni ya kimaskini Sanaa.
Ila wakishafika unguja ni rahisi wao kumiliki pesa maana % kubwa wanna wanaamini msaada kutoka kwa majini
 
Hiyo ya wahuni sijui, lakini wabara kuitwa Wanyamwezi siyo sababu ya Lipumba na Mapalala.

Katika miaka ya arubaini mpaka sitini (enzi ya Muingereza) ikifika wakati wa kuchuma karafuu Pemba kulikuwa na meli inakuja kuchukua vibarua kutoka Bara (enzi hizo Tanganyika). Waliokuwa wanakwenda Pemba kipindi hicho kwa asilimia kubwa walikuwa Wanyamwezi/Wasukuma na Wadigo kutoka Tanga. Aidha vijana wengi na wafanyabiashara kutoka Unguja walikuwa wanahamia Pemba kwa muda. Kwa kweli fedha ilikuwa nje nje katika kipindi cha karafuu. Hata wahindi walikuwepo kwa wingi sana na maduka yao yakiuza kila unachokitaka na hasa mapambo ya wanawake kutoka India.

Uchumaji wa karafuu unahitaji vibarua wengi ili karafuu zichumwe kwa muda mfupi bila kuharibika (zinachumwa katika stage maalumu ya ukuwaji) otherwise zinaharibika na kuwa 'matende' na zinakuwa hazina thamani kibiashara. Kwa hivyo nguvukazi ilikuwa inakuja wanapiga mzigo na baadae wanarudi nyumbani. Lakini kama kawaida kuna baadhi huwa wanabakia kule kule na kuendelea na maisha yao. Hawa waliobaki wengi walikuwa ni Wanyamwezi na ndiyo maana wabara wote tena wakaitwa hivyo.

Enzi hizo karafuu ilikuwa na bei kweli kweli kwa hivyo msimu wa kuchuma karafuu ilikuwa kama sherehe fulani hivi visiwani. Walikuwepo 'wauza urembo (mapambo ya kina mama)' walikuwa wanauza mpaka vijijini. Mfano mfanyabiashara akikutana na mtu akanunua kitu lakini akapungukiwa na fedha basi atamkopesha na yule aliyekopa atamlipa tu hata kama watakutana baada ya mwaka mmoja (walikuwa waaminifu sana).
Nice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko utateseka sana kisaikolojia bora uguja kuna kuvumiliana kinafiki tunajifanya hutujui chuki zao
 
Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi

3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu

13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)

14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen

♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Pemba ya Msumbiji hiyo ?

Mji wa Pemba uko Msumbiji.
 
Ebhana niaje ,, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni Kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sanaa.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi

3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa.
5. Pemba maisha ni ghali sana.
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika.
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue,, yaan huku hawana habari za kutumiana wahuni,, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida[emoji2]
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege ,, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi ,, yaani majitu fulani mahuni ,, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu

13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)

14. Pemba shule inaitwa Skuli.
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani.
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli,, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea.
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen

♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA

Hiyo namba 10 ndio inazalisha mashoga,
 
Kingine ni suala la chuki dhidi ya watu kutoka bara, hii huambukizwa tangu utotoni sijui ni nini kilitokea lakini jamaa wanawachukia watu kutoka bara kuliko maelezo.

Hii nayo ni ujinga wa kurithishana, naamini kiasili kisiwa hakina mwenyewe kiasilia kwani hata hawa wanaolishwa hizi sumu ukiwafuatilia kiundani asili za mababu zao unakuja kugundua kuwa walihamia huku visiwani muda mrefu!!!!!!!!!!!!

Ni sababu za kisiasa mkuu, Mapinduzi ya 1964 na Muungano ndio sababu ya watu wengi wa Zanzibar kuwachukia wabara.

Mapinduzi ya 64 yalifanywa na wabara, Na huu Muugnao wakulazimishwa ambao wenyewe hawautai kabisa, Hayo ndio yaliyazalisha chuki ndani ya nafsi yao. (and wao sahihi kwa uande mmoja).
 
Back
Top Bottom