Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Kabla ya hao tuliitwa machogo. Hata CO wangu alitukanwa kwa kuitwa chogo akafunga Mtaa. Hakuna kuingia hakuna kutoka, baada ya masaa 9 wakamtaja aliyetukana. Alikuwa anaitwa Khamid Ubwa, bwana Ubwa akapakiwa kwenye gari yenye maandishi mwekundu MP akaletwa kambini. Kilicho fuata huko.... Wakaja za kamsemo 'wanajeshi sio watu, hata akitaka mkeo mpeee'
 
Kumbe Azam boat zinafika hadi pemba?nauli bei gani?
 
Waungwana sana wale watu, mkiwaonyesha Mziki na wakaukubali ni wepesi sana kukubali matokeo😃
 
Hii ni unguja sio pemba

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Huko huko Pemba...

Unguja wamechanganyika Sana .. .. na hawaangalii Sana bikra miaka ya sasa...

Pemba hii ipo ...na ndio maana hata wanawake walioolewa .. kwa ndoa wapo baadhi wanatumiwa hivyo na Waume zao!

Kesi hizi ni.nyingi mno ... Hospital tunaona mengi!

Yafumbiwa macho tu!
 

Burukenge fulani wewe!
 
Habari ya pembe umetuwekea tumeifahamu ebu tuwekee na tabia zako na ndugu zako wa huko ulikozaliwa hili tulinganishe
 
Nipo huku wete mkuu unawez kua na connection za warembo
 
Wenyeji wa huko uroda wanapata wapi??
 
Pemba wanawake wote ambao hawajaolewa ni bikra lakini hawana marinda.

Accumen Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…