Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Inakuaje samaki Wana bei kubwa kuliko bara Mkuu
Hawajishughulishi sana ingawa rasilimali bahari ipo, hii ni kama visiwa vya Comoros samaki ni ghali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuaje samaki Wana bei kubwa kuliko bara Mkuu
Kabla ya hao tuliitwa machogo. Hata CO wangu alitukanwa kwa kuitwa chogo akafunga Mtaa. Hakuna kuingia hakuna kutoka, baada ya masaa 9 wakamtaja aliyetukana. Alikuwa anaitwa Khamid Ubwa, bwana Ubwa akapakiwa kwenye gari yenye maandishi mwekundu MP akaletwa kambini. Kilicho fuata huko.... Wakaja za kamsemo 'wanajeshi sio watu, hata akitaka mkeo mpeee'Pemba patamu yahe. Usisahau kufika pale Gombani na Macho manne.
UKifika Macho manne utapata kila utakacho, Wete halikadharika...ingawa macho wengi yatakunyima Uhuru.
Ukichukua ngoma Wete au Macho manne inabidi ukaipigia kusini, yaani mkoa mwingine.
Wabara na Wahuni kuitwa Wanyamwezi ni sababu ya watu wawili, wa Kwanza James Maparara aliyekua mwanzilishi na Mwenyekiti wa CUF, wa pili ni Ibra Lipumba...hawa Wanyamwezi wawili kwao ndiyo brand ya Wabara
Kumbe Azam boat zinafika hadi pemba?nauli bei gani?Niko kwenye Azam Sea link narudi zangu Unguja then Dar Leo.
Messi imeniokoa sana muda wa wiki Moja niliokaa Pemba. Sikupata shida ya kula kabisa Ramadhani hii ingawa hela imetoka sana kwenye kula na kugonga vyombo.
Messi Ina mademu wengi sana ila tatizo hata ukitongoza huwezi kumpeleka hotelini kwako maana hawatakuruhusu.
Mademu wanataka uende nyumbani kwao which is very risk.
Kwenye meli Kuna ustaarabu mbaya sana. Mnakata ticketi ya Economy au Executive seat lakini ukiingia unakuta mijitu imelala kwenye viti vyote
Hapo mwanzo palikua na neno,naye neno alikua kwa Mungu,naye neno ni Mungu
Ukute una watoto na huwachapa wakifeli darasani..kumbe umbumbumbu wameruthi kwako
Waungwana sana wale watu, mkiwaonyesha Mziki na wakaukubali ni wepesi sana kukubali matokeo😃Kabla ya hao tuliitwa machogo. Hata CO wangu alitukanwa kwa kuitwa chogo akafunga Mtaa. Hakuna kuingia hakuna kutoka, baada ya masaa 9 wakamtaja aliyetukana. Alikuwa anaitwa Khamid Ubwa, bwana Ubwa akapakiwa kwenye gari yenye maandishi mwekundu MP akaletwa kambini. Kilicho fuata huko.... Wakaja za kamsemo 'wanajeshi sio watu, hata akitaka mkeo mpeee'
Huko huko Pemba...
Na shule limetoholewa kutoka kijeruman ila wao bado wanaita wapemba washamba kwasababu ya kuita skuli.Limetoholewa kwenye lugha ya kiengereza.
School
Hii sio boat. Ni meli mkuu. Nauli ni 20,000 Kwa 25,000 kutokea UngujaKumbe Azam boat zinafika hadi pemba?nauli bei gani?
Inachukua masaa mangapi Unguja hadi Pemba?Hii sio boat. Ni meli mkuu. Nauli ni 20,000 Kwa 25,000 kutokea Unguja
6-10Inachukua masaa mangapi Unguja hadi Pemba?
Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa
5. Pemba maisha ni ghali sana
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue, yaani huku hawana habari za kutumiana wahuni, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi, yaani majitu fulani mahuni, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PE
Burukenge fulani wewe!Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa
5. Pemba maisha ni ghali sana
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue, yaani huku hawana habari za kutumiana wahuni, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi, yaani majitu fulani mahuni, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
labda mama aliekuzaaPemba 100% ya wadada ambao hawajaolewa ni bikra (upande wa mbele), lkn kwa nyuma hawana malinda.
Habari ya pembe umetuwekea tumeifahamu ebu tuwekee na tabia zako na ndugu zako wa huko ulikozaliwa hili tulinganisheEbhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa
5. Pemba maisha ni ghali sana
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue, yaani huku hawana habari za kutumiana wahuni, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida[emoji2]
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi, yaani majitu fulani mahuni, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Nipo huku wete mkuu unawez kua na connection za waremboEbhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.
1. Wale dada zetu poa huku kuwapata ni kasheshe sana.
2. Pombe mpaka uende Messi huko kwenye ukumbi wa wanajeshi
3. Kupata Sigara pemba ni mtiti maduka yanayo uza fegi yanajulikana kabisa
4. Wanawake wakipemba hawaogopi Talaka kabisaaa
5. Pemba maisha ni ghali sana
6. Pemba hakuna migahawa local kama ile ya bara, na kama ipo inahesabika
7. Pemba kutupiana vijini ndio issue, yaani huku hawana habari za kutumiana wahuni, yaani ni vijini tu.
8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
9. Pemba Samaki bei kuliko Singida😃
10. Pemba usipo kuja na mke utakufa na nyege, utapiga puli mpka akili ikukae
11. Wapemba hawapatani na Waunguja(paka na panya)
12. Pemba watu wa bara tunaitwa Wanyamwezi, yaani majitu fulani mahuni, hayamjui mungu. Kumbe hawajui chochote, zaidi ya kusoma Bidaa tu
13. Pemba hakuna kufeli mtihani wa darasa la sita( hivi sasa ndio wanasoma mpka darasa la saba)
14. Pemba shule inaitwa Skuli
15. Pemba jojo au bablishi inaitwa Ubani
16. Wanawake wa kipemba wanalafudhi tamu sana inahamasisha kwakweli, ila ile lafudhi wanaume hawafai kuiongea
17. Pemba wanawake wanasura nzuri ila robo tatu ni flat screen
♧UKIPATA MUDA TEMBELEA PEMBA
Wenyeji wa huko uroda wanapata wapi??Hahaaa! Mwaka jana mwezi wa nne mwezi wa ramadhani nilikuwa huko,daa ilibidi nifunge tu na mimi japo sio muislam. Kwani hata maji ya kunywa tu dukani huwezi kuuziwa, bia hapo MESS tsh. 3000 (tena ndogo) maeneo ya hapo MACHO MANE chakula ni bei juu sana.madem bila hao ma bar maid wa hapo mess na hao wauza vyakula kutoka bara, sijui ingekuwaje!
Pemba wanawake wote ambao hawajaolewa ni bikra lakini hawana marinda.Ebhana niaje, niko pemba mwezi wa Tatu huu sasa. Pemba ni kamji kadogo kenye mambo yake ya kustahajabisha.