Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Pemba patamu yahe. Usisahau kufika pale Gombani na Macho manne.
UKifika Macho manne utapata kila utakacho, Wete halikadharika...ingawa macho wengi yatakunyima Uhuru.
Ukichukua ngoma Wete au Macho manne inabidi ukaipigia kusini, yaani mkoa mwingine.

Wabara na Wahuni kuitwa Wanyamwezi ni sababu ya watu wawili, wa Kwanza James Maparara aliyekua mwanzilishi na Mwenyekiti wa CUF, wa pili ni Ibra Lipumba...hawa Wanyamwezi wawili kwao ndiyo brand ya Wabara
 
Duh kazi sana
 
Niko kwenye Azam Sea link narudi zangu Unguja then Dar Leo.


Messi imeniokoa sana muda wa wiki Moja niliokaa Pemba. Sikupata shida ya kula kabisa Ramadhani hii ingawa hela imetoka sana kwenye kula na kugonga vyombo.

Messi Ina mademu wengi sana ila tatizo hata ukitongoza huwezi kumpeleka hotelini kwako maana hawatakuruhusu.
Mademu wanataka uende nyumbani kwao which is very risk.

Kwenye meli Kuna ustaarabu mbaya sana. Mnakata ticketi ya Economy au Executive seat lakini ukiingia unakuta mijitu imelala kwenye viti vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…