Watu wa Sheria Nisaidieni kwenye hii ndoa ya Dada angu

Mkuu Niko nje ya mada kidogo vip tatizo lako la maumivu upande mmoja wa Figo kuuma pindi mkojo ukubanapo au bila mkojo vip ulifanya vipimo shida ni nin iligundulika namim nna tatizo Kama hilo
 
Aachane tu na Mali bana kikubwa uhai wake na uzima inatosha,watt wakiwa wakubwa watapewa urithi wataenda kuishi na mama yao.
Mali kitu gani akipewa na akafilisiwa ,hapo aawache waishi baadaye shemeji yako atamuita Tena dada Ako. Wewe wape.miaka.mitano utaleta mrejesho hapa.
Mwanamke hajajenga nyumba, alikuwa anafanya kazi Gani ya kuingiza kipato icho ama yeye anamiliki nini mbali na hizo.mali.za.mmewe
 
Mkunyange apigwe dada mali ule wewe...huwenda mume alishaona hizo dalili zenu zakumendendea mali mpaka kachagua amani ya moyo kwa kuoa mke mdogo 🤣🤣
 
Dada yako ana haki kubwa sana, kwa sababu amekaa miaka 10 na huyo jamaa,

Hapo asidai kama mke ,

Anayakiwa adai mali kama mfanyakazi wa ndani kwa mujibu wa sheri kila mwisho wa mwezi mfanyakazi wa ndani analipwa sh 100,000 fanya mara 12 kisha mara 10, kwa maana kila mwaka alikuwa anatakiwa kulipwa 1,200,000 kwa miaka 10,


Kwa vile alikuwa anamtumia kama mke na amemzalisha pia anatakiwa kumlipa,


Kinachotakiwa aende mahakamani akafungue kesi ya kufanyishwa kazi miaka 10 bila malipo, na ktk maelezo yake aseme alikuwa ananitumia kama mke na amenizalisha watoto 3, kazi alizokuwa akiafanya nyumbani ,

Kupika,

Kufua

Kumusafisha nyumba

Kumuhudumia kama mume

Kumlelea watoto wake,

Atalipwa na kiiunua mgongo kwa maana alitakiwa kila mwezi awekewe 20,000 kwa kwaka kisha fanya mara 12 jumlisha na ile milion 12 ataondoka na m 15 hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…