Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Tatizo tukija huko mikoani tunakuja kwaajili ya ishu maalum mfano kusalimu wazee,msiba,sherehe,matambiko nk sasa hayo mambo yakiisha nyuma geuka mbele tembea....ila nyinyi mkija town mnapenda kutuganda sana kwanza unakuja huku bila ishu maalumu utasikia ooh nimekuja kutembea ooh twende tukatembee niujue mji
 
Dada umewapa za uso
 
Sasa we thubutuuuuu kuzimaa tuu simu!!
Mwezi mzima sura yako inabembea kwenye status
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tukalale uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…