BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Sasa,wewe unajulikana hadi UNO ya zamani kwamba mayai yako ulikaangia viepe.Tukufanyie vaxetonomy?Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa, utapeli na janja janja.
Watu wawili mazwazwa wanapokutana, wanaweza kabisa kukubaliana kufugana kwa pamoja kwa madhumuni yasiyo na mashiko yoyote kiuhalisia.
Ukimuuliza mtu kwanini anaoa, hawezi kukujibu vile inapaswa. Atakwambia tu naoa kwa sababu umri umefika. Hana hoja wala mantiki katika uamuzi wake.
Alikuta tu baba ake ameoa, na yeye sasa ana ndevu za makwapa, basi ni sharti aoe.
Watu mazwazwa ndio wamechangia sana kuzalisha kundi kubwa la watoto na vijana wa mitaani wasio na faida yoyote. Mateja, malaya, wahuni, wasio na ajira, mabodaboda, na wezi wa simu.
Hili kundi kubwa la mazwazwa linazaa kundi kubwa lingine la mazwazwa ambalo linazidi kuharibu ustaarabu wa dunia. Matokeo yake tunakuwa na dunia ya mazwazwa.
Siku hizi ni ngumu sana kukutana na watoto au vijana smart kichwani, hata ukiangalia interviews za kazi au vyuoni, unaona lile wimbi kubwa la mazwazwa wamevamia taasisi za elimu na ajira.
Kuna haja ya kufanya great reset ili hili wimbi la mazwazwa litokomezwe once and for all kwa mustakabali mpana wa ulimwengu.
Subhanallah!Nilitaka nikuweke kwenye kamati ya mazishi lakini nimeahirisha.Something absurd gonna happen!Tatizo lako unataka tuliwe makebo kama wewe, Hata useme nini sitakaa kuacha kuchezea viadrizi vya wadada hadi viteme hydroxon, ni raha sana
View attachment 3702102
Uzao wa wezi wa simu na mabodaboda unachafua dunia.Baba yako angekuwa na akili kama zako wewe usingekuwepo.
Nothing matters in this world than leaving behind enough kids to propel your kinship.
Urithi mkuu kuliko chochote hapa duniani ni WATOTO.
Wewe utakufa na kila kilicho chako kitasahaulika, kasoro uzao wako tu.
Kwa maana hiyo tatizo hapo ni maadili/malezi psmoja na uwezo wa kuwahudumia lakini siyo tatizo kuzaa.Umeandika kwa kupanic ila unahoja kuntu ukituliza Hilo vichwa lako lililochanginyikiwa.
Naongezea hivi ! Hapo kale watu walizaa ama kuongeza rasilimali watu katika shughuri za uzalishaji hasa ufugaji, kilimo, uvuvi n.k maana yake rasilimali zilikuwa nyingi kupita idadi ya watu tofauti na sasa hasa kuazia miaka ya 2000.
Hili kundi unaloliona la ma Ge-Nz hasa kuanzia miaka ya 2000s wengi waezaliwa bila mpango mahususi ( fashion) wamekuta dunia imetoka kuwatumia watu katika uzalishaji inatumia maendeleo ya teknolojia.
Ukiangalia hata kiwango chao cha kujitambua ni tatizo, kwenye maadili ni tatizo pia, wanataka matokeo ya hire and now hawana roho ya uvumilivu kabisa.
Kwa kipindi hichi watoto ni mzigo na majuku makubwa hivyo wazazi ambao wengi wao ndio hao maG-nz hawamudu hali ya maisha.
NB. Hiki kipindi kimetawaliwa na ngono yaani sex imekuwa rahisi kuliko Nyanya sokoni. Ni mwendo wa kuzaa kuzaa kuzaaa kuzaa.
Tunakoelekea ni kubaya zaidi kwasababu watoto wengi wanalelewa na wasingo maza wasiona na maadili.
Bomu hilooo linakuja kuiangamiza dunia
Kwa hiyo tusioe na kuzaa? Au tuoe tusizae au tuzae bila kuoa au tusizae wala kuoa?Ukiwa timamu uliyetimia kiakili, rijali wa ubongo, shupavu wa fikra tunduizi, huwezi kamwe, namaanisha kamwe abadani, kubeba mtu, kumchukua kutoka kwao na kwenda kumfuga nyumbani kwako kwa ajili ya ngono na kuzaa zaa hovyo.
Jambo zima la ndoa limejengwa katika dhana ya ujinga, hofu, tamaa, utapeli na janja janja.
Watu wawili mazwazwa wanapokutana, wanaweza kabisa kukubaliana kufugana kwa pamoja kwa madhumuni yasiyo na mashiko yoyote kiuhalisia.
Ukimuuliza mtu kwanini anaoa, hawezi kukujibu vile inapaswa. Atakwambia tu naoa kwa sababu umri umefika. Hana hoja wala mantiki katika uamuzi wake.
Alikuta tu baba ake ameoa, na yeye sasa ana ndevu za makwapa, basi ni sharti aoe.
Watu mazwazwa ndio wamechangia sana kuzalisha kundi kubwa la watoto na vijana wa mitaani wasio na faida yoyote. Mateja, malaya, wahuni, wasio na ajira, mabodaboda, na wezi wa simu.
Hili kundi kubwa la mazwazwa linazaa kundi kubwa lingine la mazwazwa ambalo linazidi kuteka na kuharibu ustaarabu wa dunia. Matokeo yake tunakuwa na dunia ya mazwazwa.
Siku hizi ni ngumu sana kukutana na watoto au vijana smart kichwani, hata ukiangalia interviews za kazi au vyuoni, unaona lile wimbi kubwa la mazwazwa wamevamia taasisi za elimu na ajira.
Kuna haja ya kufanya great reset ili hili wimbi la mazwazwa litokomezwe once and for all kwa mustakabali mpana wa ulimwengu.
mkuu hatujakataza kuzaa tunazungumzia kwamba unapozaa hao watoto uwezo wa kuwahudumia unao. Kuwahudumia kuanzia malezi, elimu, afya, chakula, mavazi hadi kumtengenezea uhakika wa ajira huyo mtoto.Kwa maana hiyo tatizo hapo ni maadili/malezi psmoja na uwezo wa kuwahudumia lakini siyo tatizo kuzaa.
una watoto wangapi mrembo?Oh my gwaaaaad… hutaki watu waijaze dunia..!
alikutana na zauso nini?Naona we kuna shida kwenye kichwa chako lasivo utakua ulikutana na za uso maana haiwezekani ukaanza tu kuchukia kuoa na kuzaa labda mwenzetu ulianguka kutoka angani.
Nadhani hawa alimfanya kitu mbaya mpaka akachukia kuoa tena.alikutana na zauso nini?
ndio achukie hadi watoto?Nadhani hawa alimfanya kitu mbaya mpaka akachukia kuoa tena.