Watu wajinga ndio wanaoa na kuzaa: Akili kubwa ni kinga dhidi ya ndoa na uzao wa hovyo

Hata yule Prof Mwenyekiti cha chama cha wafuga ndevu nilisikia yuko kama wewe
 
Una hoja nzuri ila umeiwasilisha kimihemko kama kawaida yako.

Miaka ya nyuma watu waliokuwa bachelors na spinsters walikuwa innovators wa dunia, walitenga mda na rasilimali zao na super brains kuvumbua mambo yaliyoifanya dunia iwe ilivyo leo.

Hawa wanaokataa kuoa na kuolewa leo ni viazi wa mwisho, hawataki ndoa sio kwa vile kuna kitu wana'offer duniani, wapo ili kugawana migongo, that's absurd!!
 
Ni bora kufa bila kuwa na mtoto kuliko kutengeneza chain ya umasikini hapa duniani
Hakika mkuu...

Binafsi huwa naona watu wanao leta viumbe huku wakiwa na maisha duni kama wanaharibu new souls nakuzifanya zije ziendeleze walipoishia...

Ila kuoa ama kuwa na familia ndo msingi wa jamii imara.

Vijana wa paswa kutambua stability yako ndo future ya uzao wako.
 
Ni kweli aiseeh nakuunga mkono mkuu tukianzia na mfano wa mazwazwa wawili ambao ni baba ako na mama ako wakaungana na kujambiana wakalizaa yage yage wakakukuza ila wangejua wangekutupa tu.
 
Nakubaliiii!!!
 
Kuna kipindi kule Redio Frii Afrika cha asubuhi nadhani jumapili cha je huu ni uungwana? Kipindi kilichopita mtangazaji alikuja na hoja ya "baadhi ku left group". Nasubiri kipindi kijacho mtangazaji atamsemaje mleta mada!!!
Hivi ni kwanini waja mkiambiwa ukweli, mnalipuka na kuwaka kuhusu ku left group?

Acheni kuzaa watoto kiholela, ni janga kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…