Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Binafsi mambo ya u-introvert nilikuwanayo miaka mingi iliyopita kujifungia ndani kutwa nzima plus hakuna kuongea hata na majirani nikaona ufala tu huu dili nyingi za pesa zinanipita baada ya hapo nika-change fasta Sana.
 
Kwa mtu yeyote yule simshauri kuwa na marafiki kabisa,watakuumiza
Kisayansi mwanadamu ni kiumbe mwenye mtindo wa maisha wa kijamii (social being) ndio maana baadhi ya adhabu za wafungwa ni kutengwa wenyewe (solitary confinement) kwasbabu huathiri sana kisaikolojia.

Naamini tunawahitaji marafiki angalau wachache wanakuwa kama "support system" yetu.
 
Utakuwa ni introvert hivyo utapata rafiki ikitokea fursa ya wewe kuwa karibu na mtu akuzoee ndio mnakuwa marafiki kama hao wa shule/chuo.
 
Hapo yaani umenigusa maisha yangu kabisa.mi nina marafiki watatu tu ambao mmoja ni tokea shule ya msingi mwingine sec na mmoa wa ukubwani kwenye kutoka huyo mmoja tu ndo mtu wa viwanja kwa hiyo mi ukinikuta nipo bar au viwanja vya starehe utanikuta mimi na huyo jamaa angu mmoja tu labla na washkaji wengine ambayo ni sio washkaji zangu.kwangu mimi inakuaga ngumu sana kumzoea mtu hata mwanamke
 
Yaan daa
 
Introvert's circle of friends is very small and tight.

Usishangae ukakuta watu kama hawa wana marafiki hawafiki watatu au watano.
hivi hii ndo wanaita introvert eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…