Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

It doesn't work like that kwa introvert recharging ya mind yake inahtaj utulivu na sio purukushan,,,, kuwa introvert sio kwamba ndo mtu haongei au hawez socialize,,, its just they can't argue more kama kukiwa na marumbano coz it's not their style

Exactly mkuu. No need to explain more
 
[emoji23] [emoji23] duu mimi huyu.Mwanamke wangu nilikua nakutana nae kwa miezi 7 ofisini namhudumia na sikuwahi kumjua jina wala kumuuliza, siku nimeumwa sikwenda job siku kama 3 akaomba no akanicheki akajitambulisha nikamjibu mbona sikujui dah [emoji28][emoji28] leo ndo demu wangu mwaka wa 2 huu.
Ananiamini sana anasemaga kuna mda alikua hadi anajiuliza huyu kaka vipi hata kuomba no kama sio mwanaume huwa anadhani ni ngumu sana wanawake kunipata sababu sipendi shobo.
Ila afadhali leo nimejua tupo wengi wa aina hii maana mi kuna kipindi nilifikiri au inawezekana kweli nina madharau na kiburi nini.
 
Kuna mwanamke nilizaa nae yule mwanamke niliishi nae kama mume na mke kwa kipindi chote cha ujauzito japo ilikuwa ni kwake.imefika kujifungua nilikuwa nje ya mji kidogo narudi jioni kumpelekea chochote kama unavujua hospital zetu za bongo zilivyo kuna muda wa kuwaona wagonjwa.

Basi bana mi nikawa nje ya muda ikabidi nimwombe mlinzi angalau ampele chakula kwa kumpa kiru kidigo akaniuliza jina lake nikamtajia akataka la baba ake kwani nalijua sasa hahahha yaani nimekuwa na mtoto wa watu kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sijui baba ake anaitwa nani.kwa aibu ilibidi nimpigie tu nimuulize baba ake anaitwa nani na ndo ukawa mwanzo wa kumjua baba mkwe.
 
Kuna mwanamke nilizaa nae yule mwanamke niliishi nae kama mume na mke kwa kipindi chote cha ujauzito japo ilikuwa ni kwake.imefika kujifungua nilikuwa nje ya mji kidogo narudi jioni kumpelekea chochote kama unavujua hospital zetu za bongo zilivyo kuna muda wa kuwaona wagonjwa.basi bana mi nikawa nje ya muda ikabidi nimwombe mlinzi angalau ampele chakula kwa kumpa kiru kidigo.akaniuliza jina lake nikamtajia akataka la baba ake kwani nalijua sasa hahahha yaani nimekuwa na mtoto wa watu kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sijui baba ake anaitwa nani.kwa aibu ilibidi nimpigie tu nimuulize baba ake anaitwa nani na ndo ukawa mwanzo wa kumjua baba mkwe
We tena kiboko haha
 
Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati wa chuo/sekondari, biashara/kazini. Siku zinavyosonga na wanavyozidi kukukua kimaisha "cycle" ya marafiki alionao inazidi kupungua. Anabakiwa na zaidi familia tu na rafiki mmoja au wawili.
Dah, kama unanizungumzia mimi yan.
Maisha haya sometimes yana raha na changamoto zake
 
1. Rafiki wa kwanza wa mtu ni Mungu...

2. Rafiki wa pili wa mtu ni mtu mwenyewe...

3. Rafiki wa tatu wa mtu ni familia...(mke, mume, mama, baba, kaka, dada, watoto n.k)

4. Rafiki wa nne, wengineo...

Ukishaona mtu anahangaika na hiyo namba 4, ujue 1-3 kuna shida
 
Ila uliyemuongelea hapo sio Introvert. Huyo ni mtu mwenye tatizo mahali. Introvert hana kabisa hiyo habit yakutaka jichanganya and yeye anaona its Ok.

Ila sasa kuna hawa watu wengine wenye matatizo yakujumuika kutokana na ama uoga, viburi, majivuno, ugomvi na mauzi tu. Nao siku hizi naona wanajificha kwenye kivuli cha introvert [emoji23]
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah umepiga kwenye mshono
 
Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati wa chuo/sekondari, biashara/kazini. Siku zinavyosonga na wanavyozidi kukukua kimaisha "cycle" ya marafiki alionao inazidi kupungua. Anabakiwa na zaidi familia tu na rafiki mmoja au wawili.

Anajikuta imefika weekend mtu anatamani kujiachia kidogo na kubadili mawazo ila akiangalia hana watu wa kujumuika nao. Akiingia bar/mgahawa anakuta majamaa wamekaa kwenye meza kwa vikundi, inabidi aidha akae meza yake mwenyewe au akae counter...lakini anakosa ile ladha ya urafiki na uhusiano walionayo wengine kwenye maisha ambapo hubadilishana mawazo na kupeana changamoto chanya za kimaisha.

Kwa upande mwingine wanakuwa ni watu wanaojitegemea (independent) kifikra na kwa mambo mengi hufanya maamuzi na kuendesha maisha bila kutegemea ushauri au mawazo ya wengine. Pia kutokana na kutokuwa na watu wengi huwa hawana zile drama/changamoto za marafiki.

Faida za marafiki ni nyingi kuliko hasara, hebu introverts toeni mbinu za kupata marafiki wapya ukubwani.
Soma hii
Screenshot_20211221-060850.jpg
 
Hapana anxiety ni hali ya wasiwasi uliopitiza ni ugonjwa wa akili. Kuwa introvert ni tabia ya upole na ukimya wa asili sio waongeaji na pia hawana mazoea sana na watu. Anxiety hata extrovert wanapata kwasbabu ni tatizo la kisaikolojia linalotibika lakini kuwa introvert au extrovert ni nature huwezi ibadili.
I am talking about social anxiety,,, ile detachment from other,,, ila introvert hawana shida ya social anxiety,,, they can talk with anyone wakitaka,,,, but tc not their style
 
Back
Top Bottom