Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Hao bata nao una fikiri ni ma introvert kama wewe kwamba wawaone mnawala wenzao wabaki hapohapo......akipungua mmoja tu bata haooo wanaextrovatika chap mtaa mwengineMi kukaa mwenyew sku nzima na sm yangu ikiwa na bando huwa najihis amani sana,nachoka kukaa na watu
Nikizeeka nitaishi polini na vijana wawili tutafanya shughuli za kilimo na kula bata huko porini