Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

It doesn't work like that kwa introvert recharging ya mind yake inahtaj utulivu na sio purukushan,,,, kuwa introvert sio kwamba ndo mtu haongei au hawez socialize,,, its just they can't argue more kama kukiwa na marumbano coz it's not their style

Exactly mkuu. No need to explain more
 
Ila afadhali leo nimejua tupo wengi wa aina hii maana mi kuna kipindi nilifikiri au inawezekana kweli nina madharau na kiburi nini.
 
Kuna mwanamke nilizaa nae yule mwanamke niliishi nae kama mume na mke kwa kipindi chote cha ujauzito japo ilikuwa ni kwake.imefika kujifungua nilikuwa nje ya mji kidogo narudi jioni kumpelekea chochote kama unavujua hospital zetu za bongo zilivyo kuna muda wa kuwaona wagonjwa.

Basi bana mi nikawa nje ya muda ikabidi nimwombe mlinzi angalau ampele chakula kwa kumpa kiru kidigo akaniuliza jina lake nikamtajia akataka la baba ake kwani nalijua sasa hahahha yaani nimekuwa na mtoto wa watu kwenye mahusiano zaidi ya miaka miwili sijui baba ake anaitwa nani.kwa aibu ilibidi nimpigie tu nimuulize baba ake anaitwa nani na ndo ukawa mwanzo wa kumjua baba mkwe.
 
We tena kiboko haha
 
Dah, kama unanizungumzia mimi yan.
Maisha haya sometimes yana raha na changamoto zake
 
1. Rafiki wa kwanza wa mtu ni Mungu...

2. Rafiki wa pili wa mtu ni mtu mwenyewe...

3. Rafiki wa tatu wa mtu ni familia...(mke, mume, mama, baba, kaka, dada, watoto n.k)

4. Rafiki wa nne, wengineo...

Ukishaona mtu anahangaika na hiyo namba 4, ujue 1-3 kuna shida
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah umepiga kwenye mshono
 
Soma hii
 
I am talking about social anxiety,,, ile detachment from other,,, ila introvert hawana shida ya social anxiety,,, they can talk with anyone wakitaka,,,, but tc not their style
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…