Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Hao bata nao una fikiri ni ma introvert kama wewe kwamba wawaone mnawala wenzao wabaki hapohapo......akipungua mmoja tu bata haooo wanaextrovatika chap mtaa mwengineMi kukaa mwenyew sku nzima na sm yangu ikiwa na bando huwa najihis amani sana,nachoka kukaa na watu
Nikizeeka nitaishi polini na vijana wawili tutafanya shughuli za kilimo na kula bata huko porini
Hahahaha akili zingine hizi...Hao bata nao una fikiri ni ma introvert kama wewe kwamba wawaone mnawala wenzao wabaki hapohapo......akipungua mmoja tu bata haooo wanaextrovatika chap mtaa mwengine
Kabisa, na wanajua kujieleza na kupangilia maneno. Umesahau na hii: wanaweza kumtongoza msichana yeyote wakimtaka.I am talking about social anxiety,,, ile detachment from other,,, ila introvert hawana shida ya social anxiety,,, they can talk with anyone wakitaka,,,, but tc not their style
May I be the second please?
Mkuu mimi naweza kusema kotekote nipo.Nadhani pia introverts wengi tunaroho nyepesi as ni rahisi kuumizwa, so kuavoid maumivu ya kila siku unaamua kujiweka pembeni
Pia hatupendi drama [emoji1787]
Ila ukibahatika kupata introvert friend ni kama umeokota dodo[emoji3][emoji38] tuko peace na very social katika small limited circle [emoji817]
Haya introverts tujuane tuanze kubond tuache kukaa counter wenyewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara nyingi watu hawa wana marafiki wanaowasiliana kwa cm
My dream,shamba halafu kakibanda kazuri ka kuishi na vijana wawili au watatu, mnapiga kazi,mnakuwa na Mbuzi,Bata,kuku kidogo na kieneo cha kulima...Mi kukaa mwenyew sku nzima na sm yangu ikiwa na bando huwa najihis amani sana,nachoka kukaa na watu
Nikizeeka nitaishi polini na vijana wawili tutafanya shughuli za kilimo na kula bata huko porini
Mkuu hizi harakati tuzianze sasa hivi.My dream,shamba halafu kakibanda kazuri ka kuishi na vijana wawili au watatu, mnapiga kazi,mnakuwa na Mbuzi,Bata,kuku kidogo na kieneo cha kulima...
Mkuu hizi harakati tuzianze sasa hivi.My dream,shamba halafu kakibanda kazuri ka kuishi na vijana wawili au watatu, mnapiga kazi,mnakuwa na Mbuzi,Bata,kuku kidogo na kieneo cha kulima...
Tena tunaishi kibabe sana, mimi nnae mmoja tu huyu naweza sema ndo lifetime friend, mwingine nadhani urafiki ulishakufaKama umeniona siku hiz pozi langu ni kaunta tu, mbaya zaidi zaidi hata wale niliosoma nao wote urafiki uliisha..
Sina marafiki wapya na mtu hawez kunizoea kirahisi.. Ila ndo hivyo tunaishi humo humo.
Hii hali inanitesa sana tena sana kwenye nyumba tumepanga 9 ila sina namba ya hata 1 na nina mwaka mimi nilikua na marafiki 2 mmoja akanisaliti moja bado yupo tena mbali marafiki wangu ni sim na redio tv nilirudisha kwenye box maana niliona haina kazi kwangu yani mtu mwenye uwezo wa kituelewa watu kama sisi ni wachache sana. Duh natamani nikacheze bao lakini najikuta hata kuchangia siwez nikienda kwenye mpira nakua bubu nikienda sehemu kupata kinywaji nikikuta pana watu wengi hamna sehemu yakukaa peke yangu naondoka atakama nitapewa ofa nitaikataa kisiasa napenda kua peke yangu yani mm nizaidi na zaidiHahahah! mfano mimi ni mpole halafu sio muongeaji huwa najaribu sana kujilazimisha niwe muongeaji lakini wapi imeshindikana. Nimeamua tu nikubari yaishe ingawa muda mwingine hii hali huwa inanitesa, nyumba niliyopanga nimezoena na watu wawili tu tena na wenyewe ni watu ambao tupo wote kozi moja.
Sio unajiona upo sawa, sema TUPO SAWA, mbona tunaishi fresh tu hatumkeri mtu,Mimi ni miongoni mwao ila najiona kama vile niko sawa tu maisha lazima yaendelee.
Umefeli mkuu, mademu zetu huwa ni pisi kali, tena wanatuamini vibaya,Wapunguze kupiga puli, huo upuuzi wa u-introverts utaisha haraka.
Tunapenda haki,yani mtu akifanya kitu kinyume tu akili inahama,shida yetu mtu akikutibua huwezi kumwambia direct lazima umtafakari sana,na mwisho wa siku ukiamua kumpa makavu lazima aombe misamaha mara mbili mbili kwakuwa wengi hawaamini kuwa tunaongea...Nadhani pia introverts wengi tunaroho nyepesi as ni rahisi kuumizwa, so kuavoid maumivu ya kila siku unaamua kujiweka pembeni
Pia hatupendi drama
Ila ukibahatika kupata introvert friend ni kama umeokota dodotuko peace na very social katika small limited circle
Haya introverts tujuane tuanze kubond tuache kukaa counter wenyewe
Pia sehemu kama JamiiForums ndo pekee tunapocomment sana, ukutane na sisi uso kwa uso sasa, sijui hata utaanzia wapi kutuongeleshaTunapenda haki,yani mtu akifanya kitu kinyume tu akili inahama,shida yetu mtu akikutibua huwezi kumwambia direct lazima umtafakari sana,na mwisho wa siku ukiamua kumpa makavu lazima aombe misamaha mara mbili mbili kwakuwa wengi hawaamini kuwa tunaongea...