Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

Kuna mwanamama mmoja anaitwa Jose kongolo FBI.
Huyu mama yupo ufaransa na ana hoteli kubwa Sana pamoja na apartments.
Huwa anawapatia homage na support zingine nyingi wasanii wa Congo haswa wanaoimba muziki wa rhumba
Jose Kongolu FBI au Sadam Misele! ,alishafariki zamani sana! Ni mtoto wa Mzee Mobutu! Alikuwa anaimbwa sana JB Mpiana! Alikufa kwa gitaa la Dali Kimoko
 
RAMATOULAYEEE....
 
Sikujua Kama Papito Mbala ni jina La Mtu. Alitoa Hela ndefu sana kwa wimbo huo wa JB Mpiana...


View: https://youtu.be/Lxy2hl3h7bI?si=7xUgDV-rY_1oios9
Charles Kabuya????
 
🔥🔥🔥
Hivi alikuwepo Mtu anaitwa Lukulasi?
Nafikiri walimwita Don King wa Afrika.

Ila Didier au Didi Kinuani kweli kaimbwa sana. Kwa UTAJIRI wake wa Almasi alikuwa mdhamini Mkubwa wa Wanamuziki ila alichemsha kuja kumchukua Mke wa JB Mpiana, Mrembo Hamida Shatur.
Baada ya hapo, BCBG Wenge hawakumtaja tena Didi 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…